Ni bora ww usye itwa kabsa
Habar wana JF yaaani nimefanya interview tatu na zoote nimekosa kazi yani itabidi niende kwa mganga aise muda mwingine najihisi nina mkosi[/QUOTE
Yaan 3 na umekosa zote ndo unajiona una mkosi!!?? Me nkikutajia zangu utazimia

Hebu ntajie
Kama alivyosema mdau mmoja hapo juu fursa zipo nyingi tena hazitaji mtaji wowote mfano kuendesha bodaboda,kondakta daladala,tan boy malori, kuvua samaki,kufuga kuku wa kienyeji, siku zinakwenda na kuongeza juhudi kutafuta kazi ukipata si unaachana na hizo fursa ndogondogo??? tha problem nimegundua graduate wengi wanajikweza kwa kujiweka juu wakati awana ata pa kuanzia jitaidi kujishusha vyeo mkuu Mungu akuinue mwenyewe usijiinue kwa akili na nguvu zako!!! Tumbo aliangalii unapata kipato kwa staili gan linataka lijazwe msosi tuu
Yani mfano mtu ana degree ya political science then unamshauri avue samaki.?
Kazi zipo nyingi sana watu waache kuchagua kazi. Kuna Graduate mmoja rafiki yangu shoe-shiner anavyopata pesa na alivyo na watewa wengi huwezi amini, mpaka anadiriki kuniambia hataki kuajiriwa tena.
Habar wana JF yaaani nimefanya interview tatu na zoote nimekosa kazi yani itabidi niende kwa mganga aise muda mwingine najihisi nina mkosi