Victor Jeremiah
Member
- Oct 17, 2011
- 80
- 16
kaa naye uongee naye.kama hatabadilika sapa fasta ukiwa bado una muda kuliko kwenda kujuta ndani ya ndoa.
Najua ni ngumu sana ....hata mimi naekushauri Napata shida sana kumwambia mchumba wangu baadhi ya tabia zake lakini WEWE kaa nae chini mwambie kuwa mke na mume ni jambo serious sana...so kabla hamjaenda huko kuna tabia moja,mbili tatu abadilishe ...asipofanya hivyo ndo uchukue hatua ya kuvunja uchumba........coz commitment ya uchumba ni ya juu sana kuvunjwa kirahisi rahisi (sijui lakini-labda kwa vile mimi naona watu wa kuwafanya wachumba hawapo wengi kiivyo kwamba ukivunja hapa unaunga kule)
....Ni kweli mkuu lady doctor...si kwa wanawake tu hata sisi wanaumme.....kuambiana ukweli kwnye mahusiano si rahisi sana wakati mwingine watu wanamezea mengi....lakini wakati mwingine inabidi iwe hivyo especialy kama mpo serious...na hasa kwenye hiyo level ya uchumba......ni ngumu lakin inasaidia sana kustawisha mahusianaotatizo baadhi ya wanawake hawapendi kuambiwa ukweli, na hata kama ataamua kuvunja ukimya na huyo mpenzi wake basi busara ya hali ya juu inatakiwa itumike.
wengine ndoa tayari....miezi sita ni budet ya serikali au nini unasoma....miezi 6 ushangaza uchumba, this generation.!
nakushauri mchunguze kabila lake, ingawa si vizuri kusema haya mambo ya makabila ila ndiyo hali halisi kwa mfano hayo unayosema ni makabila ya watusi, wanyakyusa,wahaya ,wapare hawa wana kitu utawala na kwa nini si mimi na mila zao ukifuatilia utakikuta. wasiokuwa nacho hicho mfano wafipa, wanyamwezi,wasukuma nk, wote hao kama wana base ya kijijini ni rahisi ku note hiyo character lakini kama ni makuzi ya kimjini aidha ni hulka yake na jinsi anavyochukulia mambo. ukijua hayo ongeza akili yakoNiko na bishost mmoja kwataklibani miezi sit ILA kunatabia moja nimeisoma kwake ni mbinafsi chake ni chake ILA chang chake. Then ukiwa nae kila anachoona anataka anunuliwe usiponunua ananuna au uwanunulie wadogo zak. Nanshamvalisha Pete y uchumba. Sijui nisepe.
Hahahaa nimeipenda hii.mvue univalishe mimi
Ni kweli dr wanawake hatupendi kuambiwa ukweli . Na hasa hiyo ya ubinafsi na upendeleo mmh sijui. Mungu amsaidie ili waweze kuweka mambo sawa. Nakumbuka familia moja mume akitaka kuwapa pesa wadogo zake ilibidi pesa afiche kwenye soksi ndio awapelekee ndugu zake, tena mwanamke akijua utakua ugomvi mkubwa.tatizo baadhi ya wanawake hawapendi kuambiwa ukweli, na hata kama ataamua kuvunja ukimya na huyo mpenzi wake basi busara ya hali ya juu inatakiwa itumike.
Niko na bishost mmoja kwataklibani miezi sit ILA kunatabia moja nimeisoma kwake ni mbinafsi chake ni chake ILA chang chake. Then ukiwa nae kila anachoona anataka anunuliwe usiponunua ananuna au uwanunulie wadogo zak. Nanshamvalisha Pete y uchumba. Sijui nisepe.
Nami nlitaka kuuliza alilishwa nini miezi sita tu unatangaza nia..............asa hizo inawezekana ni chache tu ya tabia ulizoziona alizonazo, pengine bado nyingine mbaya na nzuri ambazo hujazijua bado maana muda ni mfupi. Kaza moyo zungumza naye maana kitanzi ushajifunga nusu, mjulishe usicho kipenda anaweza kukuelewa na kubadilika na kuwa mke bora na mwema usietegemea kitu ambacho ukimvua pete na kusepa tamkosa. Kila la kherimiezi sita tu mkuu ushamvalisha mtu pete? mbona km ulikuwa na haraka sana? inahitaji muda zaidi ya huo kumsoma mtu kabla ya kufikia hatua ya kumvisha pete ya uchumba na kumtambulisha kwenu otherwise mambo ya kuja kufahamiana zaidi ndani ya ndoa yamesababisha kuvunjika kwa ndoa nyingi sana za kileo mkuu..........ushauri wangu tuliza boli mkuu mbele kuna mabamzi, permanent relationship needs no harry
Niko na bishost mmoja kwataklibani miezi sit ILA kunatabia moja nimeisoma kwake ni mbinafsi chake ni chake ILA chang chake. Then ukiwa nae kila anachoona anataka anunuliwe usiponunua ananuna au uwanunulie wadogo zak. Nanshamvalisha Pete y uchumba. Sijui nisepe.