sijui nimvue pete yangu ya uchumba nisepee?

Lakuchumpa

Member
Mar 28, 2012
73
13
Niko na bishost mmoja kwataklibani miezi sit ILA kunatabia moja nimeisoma kwake ni mbinafsi chake ni chake ILA chang chake. Then ukiwa nae kila anachoona anataka anunuliwe usiponunua ananuna au uwanunulie wadogo zak. Nanshamvalisha Pete y uchumba. Sijui nisepe.
 
Na wadogo zake tena wanunuliwe jamani, ama wewe ulijitangaza kuwa Obama wa Tanzania.Ukikosea kwenye uchumba lazima utachemsha mbele ya safari,lazima kipindi hiki ajue unapenda nini na unachukia nini.Kama kweli unataka kuwa na future nae you need to be really kwa kila kitu usije ukawa feki maana itakula kwako
 
Mvue tu aaagggrrrrh mambo gani anayokufanyia hayo!!!!!!!!!!!
naomba uniuzie hiyo pete nitengeneze hereni.
 
Ubinafsi kila mtu anao labda kama huyo amepitiliza ila waweza ongea nae. Halafu mpnz wako akitaka kitu kama uwezo upo nunua baba, ndio macare yenyewe hayo 2nayoyataka eeh! Usinune
 
Niko na bishost mmoja kwataklibani miezi sit ILA kunatabia moja nimeisoma kwake ni mbinafsi chake ni chake ILA chang chake. Then ukiwa nae kila anachoona anataka anunuliwe usiponunua ananuna au uwanunulie wadogo zak. Nanshamvalisha Pete y uchumba. Sijui nisepe.

Ushawahi ongea nae juu ya tabia yake hiyo....!vunja ukimya.
 
Najua ni ngumu sana ....hata mimi naekushauri Napata shida sana kumwambia mchumba wangu baadhi ya tabia zake lakini WEWE kaa nae chini mwambie kuwa mke na mume ni jambo serious sana...so kabla hamjaenda huko kuna tabia moja,mbili tatu abadilishe ...asipofanya hivyo ndo uchukue hatua ya kuvunja uchumba........coz commitment ya uchumba ni ya juu sana kuvunjwa kirahisi rahisi (sijui lakini-labda kwa vile mimi naona watu wa kuwafanya wachumba hawapo wengi kiivyo kwamba ukivunja hapa unaunga kule)
 
Asikwambie mtu bwana kama unahakika kwamba hizo tabia huzipendi na huzitaki kabisa,ni vyema ukaachana nae maana hamtafika na tabia ya mtu haibadiliki
 
Niko na bishost mmoja kwataklibani miezi sit ILA kunatabia moja nimeisoma kwake ni mbinafsi chake ni chake ILA chang chake. Then ukiwa nae kila anachoona anataka anunuliwe usiponunua ananuna au uwanunulie wadogo zak. Nanshamvalisha Pete y uchumba. Sijui nisepe.
miezi sita tu mkuu ushamvalisha mtu pete? mbona km ulikuwa na haraka sana? inahitaji muda zaidi ya huo kumsoma mtu kabla ya kufikia hatua ya kumvisha pete ya uchumba na kumtambulisha kwenu otherwise mambo ya kuja kufahamiana zaidi ndani ya ndoa yamesababisha kuvunjika kwa ndoa nyingi sana za kileo mkuu..........ushauri wangu tuliza boli mkuu mbele kuna mabamzi, permanent relationship needs no harry
 
Mods like kwa Dr. Mo bill on me ha ha ha.nimeupenda ushauri wake.
Kuongezea kama alivyosema Kibol miezi sita ni michache sana.
Mie nilipata Girlfriend nikawa nae Mwaka mzima nikijifanya nina hali ngumu nn lakini alionyesha kunipenda, nikajua nimefika nikaanza waambia marafiki wa karibu kwamba huyu ndiye. Do sijui na yy alikuwa kajiwekea Mwaka wa kuficha makucha!!!, ikawa kila leo nagundua Jipya, mara hajui kupika hata Ugali hilo sio neno nika mfundisha, mara mizinga mikubwa mikubwa nilipo shindwa kabisa ni pale nilipogundua ni Mwongo haija wahi Tokea. Yote niliyo kuwa nayajua kwake ilikuwa ni uwongo! Hata juu ya wazazi wake alinidanganya, nikabwaga manyanga, nikamshukuru Mungu Kwa kunufunulia mapema kabla sijaanza harakati zozote.
So through my experience miezisita ni michache sana.
 
ni kweli mkuu, miezi 6 ni michache sana kumsoma mtu
 
Niko na bishost mmoja kwataklibani miezi sit ILA kunatabia moja nimeisoma kwake ni mbinafsi chake ni chake ILA chang chake. Then ukiwa nae kila anachoona anataka anunuliwe usiponunua ananuna au uwanunulie wadogo zak. Nanshamvalisha Pete y uchumba. Sijui nisepe.

Ubinafsi? Kununa? Lohh, si tabia nzuri. Kuna uwezekano hata ndugu zake wakawa ndugu zake na ndugu zako wasiwe ndugu zake! Sina hakika kama tabia ya ubinafsi ina dawa.

Ila kuna kitu kimoja hapa hakiko clear, hatufahamu na wewe una mapungufu gani, isije ikawa na wewe ni bahili mno ndiyo maana ananuna na anakunyima vya kwake!!!
Ila wewe ndo nafikiri una maamuzi ya mwisho juu ya mahusiano yenu. nakutakia maamuzi mema na kila la kheri.
 
Unaweza tu kusepa na pete kumwachia ...hizo tabia hazifai kabisa
Au kama unampenda kweli mwambie hayo makasoro kama yuko tayari kuchange mkubaliane na umweke kwenye matazamio abeg ooh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom