Sijui nikamle au nimuache

Pamoja na utelezi kuwa mgumu ila sikushauri kijana angu Temana na huyo Maza ikiwezekana hio namba piga tofali kabisa utakuja nishukuru baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro figo saiz zinauzwa bei ghali sana moyo ndio unafika adi million 500
 
Kafara moja matata sana wewe. Andika wosia kabisa ndugu
 
Pia kesho tupe mrejesho wa hiyo zawadi.
Ukipandishwa cheo usimusahau Bujibuji Simba Nyanaume
 
Ngoja niache ipoe kwanza itaniunguza ulimi maana kuna sehem uku umejikanyaga😂😂
 
Hakikisha unafungua mwaka na discovery 4 yenye jina lako kwenye card! Ni hayo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…