aggregates
Member
- May 9, 2013
- 97
- 21
Habari zenu wana MMU hii ni mara yangu ya kwanza kuweka post japokuwa nilikuwa mpitiaji mzuri wa mada mbalimbali ktk majukwaa karibu yote ya apa jf kuna tatizo linalonisumbua, muda si mrefu nimeachana na mpnz wangu lkn kinachofanya kuomba ushauri ni kwamba nashindwa kumsahau hasa nikikumbuka mambo mbali mbali tuliyokuwa tunafanya mimi na yeye.
Naombeni ushauri wana MMU nifanyeje ushauri uzingatie mimi nipo tu nymbni bada ya kumaliza chuo iv majuzi ivyo basi nina muda mrefu wa kukaa na kuwaza
Naombeni ushauri wana MMU nifanyeje ushauri uzingatie mimi nipo tu nymbni bada ya kumaliza chuo iv majuzi ivyo basi nina muda mrefu wa kukaa na kuwaza