Sijui nifanyeje

Sijui nifanyeje

Kwa vile bado hujapata ajira hebu wekeza kwenye gamilia yako. Fanya usafi, toa mapazia hapo kwenu uyafue. Kama kuna mivyombo kabatini haijawahi yumika toa yote na kuosha. Safisha madirisha na futa vumbi kila mahali. Tafuta kitabu usome. Ingia mtandaoni usome nafasi za kazi, nafasi za masomo, na vitabu. Yaani kutoajiriwa hakukuzuii kuwa busy.

Hapo ukishawaimpress home watakuletea na magazeti daily. Yatapita hayo afu utakuja kujishangaa ulizuzuka na nini kwanza!

That what jf is for great thinker
 
Habari zenu wana MMU hii ni mara yangu ya kwanza kuweka post japokuwa nilikuwa mpitiaji mzuri wa mada mbalimbali ktk majukwaa karibu yote ya apa jf kuna tatizo linalonisumbua, muda si mrefu nimeachana na mpnz wangu lkn kinachofanya kuomba ushauri ni kwamba nashindwa kumsahau hasa nikikumbuka mambo mbali mbali tuliyokuwa tunafanya mimi na yeye.
Naombeni ushauri wana MMU nifanyeje ushauri uzingatie mimi nipo tu nymbni bada ya kumaliza chuo iv majuzi ivyo basi nina muda mrefu wa kukaa na kuwaza

tatizo unakumbuka mazuri yake mkuu ndio maana unaumia, kumbuka yale mabaya na maudhi aliyokufanyia na haita chukua muda kumsahau
 
Dah ni ukweli mtupu huwa nakupa good moments tulizoshare na ndo mana nashindwa kumsahau
 
fanya hivyo nilivyokuambia na utaona matokeo yake kwani hiyo mbinu ambayo sisi wazee na wakongwe ktk mahusiano tulishaitumia, pole kwa yaliyokusibu mkuu wangu
 
Kwa vile bado hujapata ajira hebu wekeza kwenye gamilia yako. Fanya usafi, toa mapazia hapo kwenu uyafue. Kama kuna mivyombo kabatini haijawahi yumika toa yote na kuosha. Safisha madirisha na futa vumbi kila mahali. Tafuta kitabu usome. Ingia mtandaoni usome nafasi za kazi, nafasi za masomo, na vitabu. Yaani kutoajiriwa hakukuzuii kuwa busy.

Hapo ukishawaimpress home watakuletea na magazeti daily. Yatapita hayo afu utakuja kujishangaa ulizuzuka na nini kwanza!

nimetamani kugonga like mkuu, cema ndo cjakiona kile kitufe, cema ushauri mzuri na unafaa kabisa
 
fanya hivyo nilivyokuambia na utaona matokeo yake kwani hiyo mbinu ambayo sisi wazee na wakongwe ktk mahusiano tulishaitumia, pole kwa yaliyokusibu mkuu wangu
Nashukuru sana kwa ushauri wako ngoja nianze kuitumia mbinu yako na najua nitafanikiwa
 
Habari zenu wana MMU hii ni mara yangu ya kwanza kuweka post japokuwa nilikuwa mpitiaji mzuri wa mada mbalimbali ktk majukwaa karibu yote ya apa jf kuna tatizo linalonisumbua, muda si mrefu nimeachana na mpnz wangu lkn kinachofanya kuomba ushauri ni kwamba nashindwa kumsahau hasa nikikumbuka mambo mbali mbali tuliyokuwa tunafanya mimi na yeye.
Naombeni ushauri wana MMU nifanyeje ushauri uzingatie mimi nipo tu nymbni bada ya kumaliza chuo iv majuzi ivyo basi nina muda mrefu wa kukaa na kuwaza

Kwanza kabisa ni lazima ukubali kuwa wewe sio wa kwanza katika mahusiano kuachwa. Wapo wengi kwa hiyo vumilia yataisha tu.

Jambo la pili ni kujishughulisha hata kama kuna ndugu yako ana mashine ya Cherehani jifunze kushona wakati unatafuta kazi nyingine kulingana na elimu yako.

Tatu; soma novels za kawaida lakini sio zinazohusu mapenzi pamoja na magazeti kama una access nayo.

Nne; Kama una picha ulipiga pamoja na huyo jamaa zichane halafu uzitupe na kama kuna messeji nzuri za yaliokuwa mambo yenu umesave kwenye simu yako zifute zote.

Ukifanya hayo yote utakuwa umesahau machungu yote na utaendelea na maisha yako kama zamani.

Pole sana; but I wish u all the best...
 
Nashkuru sana mpndwa ushauri wako wote nitaufanyia kazi
 
Back
Top Bottom