Sidhani kama hili limekushinda kutatua.
lakini fanya hivi
Wambie wasije una mpemzi wako.
hiviiiiiiiiiiii?!!!
mademu ndio nini mi sijui!
hiviiiiiiiiiiii?!!!
mademu ndio nini mi sijui!
hili nineno wanatumia sana watu mijini wakimaanisha "kishotobe"
Hata mimi sijui wanamaanisha nini kusema mademu Passion Lady.
mhhhh!we mwenyewe mtt wa mjini
usijue maana yake?