Sijui nifanyaje?

Sijui nifanyaje?

Mmmh.hebu mkalshe ktmoto lakn sio mnyama.mpe makavu yake...na mwambie akupe msmamo wake coz we ushamtbulsha kwa bmkubwa wako.awe serious na aache u childish. Thats ma advice
 
Asante mpendwa ntafanya hvyo

Mmmh.hebu mkalshe ktmoto lakn sio mnyama.mpe makavu yake...na mwambie akupe msmamo wake coz we ushamtbulsha kwa bmkubwa wako.awe serious na aache u childish. Thats ma advice
 
Uchumba gani mwaka mmoja na nusu kachoka huyo tafta mwingine ufunge ndoa fasta.
 
usiwaamini sana marafiki zake.....
endelea kuchunguza....
au siku jaribu kuongea nae mwambie haumwelewi na unaona bora uumpe go ahead na mambo yake akali uache unendelee na maisha yako.... akikubali maamuzi yako hayo obvious kuna mtu anampa kiburi... akikataa na kutokukubalia uamuzi wako then kuna mambo mengine yanabana... ila hii sio 100% assurance maana wasichana nao polygamy wanaiweza siku hizi
 
Huwezi kupata ukweli kupitia marafiki. Fanya research mwnyw. Kumpeleka kwa mama sio kigezo. Kma anazingua tupa kule. Vichaka vipo vingi sn mzee
 
Kwa kuwa mnafanya uasherati na huyo mwanamke wala isikuume akiwagawia na wengine maana nao pia utaitwa ni uasherati...

Halafu kijana siku nyingine ukiamua kutuandikia habari zako huku tafadhali usiandike wakati upo sehemu yenye baridi kali ambapo mikono inakuwa yakutetema kama gari linalokata wese...

Mwandiko hata haueleweki

Teh teh tehhh…!! We ni noumaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom