Hahaha ngoja tu nicheke.
Kuna ndugu yangu lkn yeye ni ke, anadai aligundua weakness kubwa sana kwa patna wake kabla ya ndoa akapuuza, ndoa haikufika mahali sasa hv ni history. ANadai alidhani atabadilika baada ya ndoa. Tabia haina dawaMay be its a sign.... She's not meant for you! Angalia mwenendo wake,kumpeleka kwa mama sio ishu...watu washafikishwa mpaka kwenye altar pale wakasema 'Hapana'..... Make a wise decision before its too late!
Halafu ukinaliza kucheka?
Inakuhusu?
Mambo yapwanisawa bro amani itawale.samahan.ila ungepita 2