wida
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 247
- 40
Naombeni ushauri marafiki zangu ndani ya JF,
Nina mpenzi wangu ambaye mwanzoni tulipendana sana, nilikuwa namtoa na kumpa kile akipendacho. Nipo nae kwa mda wa mwaka na nusu sasa hakika nampenda sana na yapata miezi ya hivi karibuni ameanza kusumbua mara hapatikani mara usiku anatumika sa 5-7 .
Amekuwa abnormal, nimemweleza x kwa x uniahidi kubadilika, sifahamu ni hali gani imemkuta, nimepeleleza kwa rafiki zake wana sema hana mwanaume mwingine.
Kinachoumiza kichwa nimesha mleta hadi kwa bi mkubwa. Nafahamu penye wengi kuna mengi na hata ushauri wenu nifanyeje?
Mimi ni male