Sijui nifanyaje naomba ushauri

Mkuu mshauri jamaa asimamie maamuzi yake na asiyumbe...
Hiyo miaka 9 sio lolote, watu wamekaa miaka 25< na hizo ndoa wanazo zililia kila kukicha lakini lakin wanaishia kuachana..
Hasiruhusu hayo mawazo ya mfumo "ke" yamfanyie maamuzi yake ya maisha..

shukran...
 
Duuhh, mkuu unaonekana una fikra dume. Bora muachane maana wewe si mtu sahihi kwake na kwa wengine watakaofuata.
 
wewe sema tu bado hujajipanga na hutaki majukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…