NamnyakNancy
Senior Member
- Jan 13, 2015
- 113
- 76
Habari wadau.
Nina mpenzi wangu tulianza mahusiano tangu tuko O level, chuo mpaka sasa tupo makazini tuna miaka 9 kwenye uhusiano mpaka sasa na wote tuna umri sawa miaka 28. Tatizo kuna vitu viwili tunatofautiana vina hatarisha mahusiano yetu.
Moja, Ndoa mwenzangu anaona muda muafaka wa kufunga ndoa umefika wakati mimi bado sijisikii kuoa na sio kwamba sitaki kumuoa ila ile hamu ya kuoa bado sina yaani utayari wa moyo kuingia kwenye ndoa bado haupo kwenye mawazo yangu najiona nikimuoa 2018 au 2019.
Pili, Mtoto yeye mwenzangu anaona muda wa kuwa na mtoto umefika lakini mimi bado sijapata hamu ya kuwa na mtoto sijapata hamu ya kuwa baba atleast mpaka miaka 3 au 4 mbele.
Kimsingi nina miaka miwili tu kazini yeye ana mwaka mmoja.Tumejitaidi kuzungumza nikampa mawazo yangu hakubaliani nayo na nimemsikiliza yake napata wakati mgumu sijui nifanyaje.
Haya ni maelezo ya jamaa yangu hapa kazini ananiomba ushauri, wadau nisaidie mawazo maana amenipa muda nitafakari nimjibu baadae.
Karibuni sana.
Ikiwa nitasoma mawazo yako sawa, this applies to...why buy a cow when you can a get a milk for free? Huyo dada ni muda umefika, kama unampenda kweli toa nia ya kuoa. Hiyo miaka 3 ni mirefu....lakini kusema hujisikii sio sababu.......
Hahaha...Hujafahamu....the meaning is bigger than that. Google is your friend, Bye!samahani madam kuna kitu sijaelewa ivi kuoa au kuolewa its all about milk? I think its someting big than that
Tell your friend kwamba aache kuwa selfish na kujiwaza mwenye. Because all I can see bado hajamaliza starehe wala kazi or age sio kigezo seriously mtu asubiri 14-15 years to be married? And to have kids! ! Its amazing how people can be selfish. ..
By the time yupo ready huyu mwanamke hatokuwa na haja ya kuolewa nae. Ajue atatokea mtu willing and ready to marry her in a short time ndio anzee ooh wanawake wabaya. Na kujiliza upuuzi.
Ameona huyu dada anampenda sana ataula wa chuya sijui atalia nanani..
Kama anampenda and he knows that this girl is going to be a good wife afanye haraka tuu..
Ndio maana tunaambiwa tusi date watu tupo nao same age.
Mi ningekata huduma zote mpaka siku akijiskia kuoa ndio aje. Idiot.
Hata angetumia neno gani, hata hilo alilotumia bado halina uzito maana hio willingness inaweza isije Daima! So my point stands Valid. Lazima aamue sasa or neverNadhani watu mmeelewa vibaya neno hamu alichozungumzia ni ile willingness yake kuingia kwenye maisha ya ndoa kutake ile step ndo anaona wakati bado
kukata huduma sidhani ni njia sahihi tena ukizingatia wameshatengeneza strong bond between them, nadhani kinachomsumbua ni kujiona bado mdogo kama wadau wengine walivyosema na kupenda kuwa free
mwanamke anasema umri wake wa kuwa na mtoto umefika anataka azae akiwa kijana mwenyewe nguvu hataki kuja kuzaa wajukuu kimsingi jamaa anamuona mdada bado muda anao wa kutosha anaisi labda kuna external force ndo maana mdada kachachamaa
Habari wadau.
Nina mpenzi wangu tulianza mahusiano tangu tuko O level, chuo mpaka sasa tupo makazini tuna miaka 9 kwenye uhusiano mpaka sasa na wote tuna umri sawa miaka 28. Tatizo kuna vitu viwili tunatofautiana vina hatarisha mahusiano yetu.
Moja, Ndoa mwenzangu anaona muda muafaka wa kufunga ndoa umefika wakati mimi bado sijisikii kuoa na sio kwamba sitaki kumuoa ila ile hamu ya kuoa bado sina yaani utayari wa moyo kuingia kwenye ndoa bado haupo kwenye mawazo yangu najiona nikimuoa 2018 au 2019.
Pili, Mtoto yeye mwenzangu anaona muda wa kuwa na mtoto umefika lakini mimi bado sijapata hamu ya kuwa na mtoto sijapata hamu ya kuwa baba atleast mpaka miaka 3 au 4 mbele.
Kimsingi nina miaka miwili tu kazini yeye ana mwaka mmoja.Tumejitaidi kuzungumza nikampa mawazo yangu hakubaliani nayo na nimemsikiliza yake napata wakati mgumu sijui nifanyaje.
Haya ni maelezo ya jamaa yangu hapa kazini ananiomba ushauri, wadau nisaidie mawazo maana amenipa muda nitafakari nimjibu baadae.
Karibuni sana.
changamoto hii...kumpoteza mtu mliyekuwa na mahusiano ya muda mrefu hivyo si vizuri,halikadhalika kuingia kwenye ndoa pasipo maridhiano ya pamoja si jambo jema...nadhani mmojawao ajishushe na kuangalia mazuri ya hitaji la mwenzie,,kupitia hayo yanaweza mjengea mtazamo wa kukubaliana...yaweza kufunga ndoa isiwe sasa,lakini pia si kufika muda wa miaka minne...