kwa mwanamke 23-26 ni muda muafaka sana wa kuolewa so binti yuko sahii,inapofika mpaka 28 kuendelea siyo kitu kizuri kwa mdada japo kuolewa ni muda wowote.kuna tecnic nyingi tu za kumsubirisha.unaweza mtafutia kitu cha kusoma ili awe bize na shule huku ukimuahidi akimaliza ndipo utamuoa.ni raha sana kwa wadada kuelewa akiwa bado anaoneka binti mchanga kuliko kuolewa akiwa anaonekana mdada wa makamo au mtu mzima flani.
acha uchuro,mhalalishe shemeji yetu huyo uanze majukumu
Nini kinampa moyo kwamba baada ya 2 au 3 atakua ''ANAJISIKIA'' kuoa? Kumbe kuna hisia za kuoa huwa zinakuja na muda eehh!!! anyway Kama unaweza kupata maziwa bureeeee kuna haja kweli ya kufuga ng'ombe wako?
Angesema Lengo lake ni kuoa mwaka flani walau ningeelewa.. Ila HAJISIKII? Interesting.
mkuu wewe wakati wa kuoa huangalii utayari wako?
kimsingi ni suala la makubaliano,,,pande moja isipofanya kitu kwa kuridhia ni tatizo...kigezo cha ''kutojisikia'' akitoacho rafiki yako hakika kinakatisha tamaa kwa huyo bibiye...hujasema sababu za mwanamke kutaka kuolewa sasa ili nazo tuone uzito wake...
Unamaanisha kujisikia kuoa ndio UTAYARI? Ikifika hio miaka halafu asipojisikia kuoa inakuaje? Au akawa na utayari halafu hajisikii kuoa inakuaje? au akajisikia kuoa halafu asiwe na utayari inakuaje?
Kipi kinamuandaa mwenzake? Utayari au Kujisikia (hisia)????
Is this a threat?
ni dalili za ma play boy huyo co muoaji anajiona bado mdogo ila anampotezea muda bint wa watu.Nini kinampa moyo kwamba baada ya 2 au 3 atakua ''ANAJISIKIA'' kuoa? Kumbe kuna hisia za kuoa huwa zinakuja na muda eehh!!! anyway Kama unaweza kupata maziwa bureeeee kuna haja kweli ya kufuga ng'ombe wako?
Angesema Lengo lake ni kuoa mwaka flani walau ningeelewa.. Ila HAJISIKII? Interesting.