Sijui nifanyaje mimi...

Aiseee nimesoma kama mara tan hivi lakini bado naona kama sielewi

Anyway kwa sababu ya huruma na kama mke wako mtarajiwa amepata nguvu na ujasiri wa kukueleza hayo uliyotueleza hapa

basi mimi nashauri muoeni tu wote awe mke wa wanaume wawili,ili mmoja anendelee kufaidi huruma zenu na watoto awazalie wote wawili,itapendeza Zaidi

ila ni huzuni kwa kweli dah,never seen this before πŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ
 
Kilema wa viungo vingine sio mpini
 
Hivi hii ni Jf kweli ndugu zangu?
 
Muda wa kujifanya kilema na Mimi nipeww
 
Kwa sasa una miaka mingapi chief, sema chap-chap kabla sijatoa ushauri.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mwache kilema ajidai Mkuu haina makombo hiyooo, by the way ni kilema kipi hicho Mkuu? Asije akawa ana kilema cha dushe πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘πŸΎ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mwache kilema ajidai Mkuu haina makombo hiyooo, by the way ni kilema kipi hicho Mkuu? Asije akawa ana kilema cha dushe πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘πŸΎ
Kilema tu wa viungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…