Afu na wewee! FP kwa kutoa siri za watu!
Hata mie nilishatonywa hicho unachomuuliza Arushaone, but nikafunika jagi! Mtoto wa guest house apite!
Sio njema bwanaa kumsanulia!
Showbiz ni kitu hatari sana.Inakuingizia hela nyingi na mtu anashawishika kuumba mwili wake upya ili 'apendeze' Nachukua mfano wa wawili hapo ninaowafahamu; Tyra Banks na Michael Jackson. Tyra Banks alipoona modelling inaanza kumlipa aliona unene wa uso wake si poa. Akaupunguza, akawa kama alivyo sasa. Huyu mwingine (r.i.p.) hakupenda uafrika wake uonekane kwenye midomo na uso. Kwa kuwa midola alikuwa nayo akajifanyia operesheni ya kubadili umbo, matokeo akawa kituko.
unajua uteja ni fani enh!\ one has to earn it!
una merits kibao!
CC kwa BAK, Nicas Mtei(huyu bado namtafutia pozi ujue,sijalipata!)but usipate shida sana!najua nini itafanyika!aje hapa na booooooooonbge la thread!(uuuuwih naanzaje kujigamba sasa wakati hata mbinu yenyewe sijaifikiria:behindsofa🙂