Sijui ni balaa au mkosi??

Sijui ni balaa au mkosi??

sio lazima kuwa na mwanamke mkuu..fanya mambo yako
 
Sister ngoja nikoge Peroxide mie, maana nahisi kudharauliwa na kutengwa na wadada....eti hiyo kemikali inaleta kismati

ukaogee hydrogen peroxide?? khaaa hiyo kali aisee dunia ina mambo.
sasa mbona mie sijawah kupata hiyo kismati japo nacheza nayo kila siku??
 
Labda unatafuta mwanamke mwenye vigezo kama vya Wema Wepetu ....

Utaumia mwenyewe by Dulaayo....ha,ha,ha.....just singing
 
kazi ipo,kumbe kutongoza ni kipaji.
 
Et wanasema, jambo zur haltak haraka, subr subr labda atakuja. Uckate tamaaa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom