Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #281
ahahahahhahah
BAK kajaa kingi kajua niko njwii kweli!
ajahahahhahahhahahha mwambie rafiki yako mi ndo nyumba ya sanaa !
FULL MAIGIZO mpaa kanisani!
ehhehehheheh af ina fulani wanajifanya wanajua kuigiza!watu tupo na vipaji vyetu hapa!
ha haaaa, nimeamini......ahahahhahahhahahahha hawakufanya kosa kuniita mwalimu!
chezeya a teacher by birth!ehehehheh
ha haaa, waahiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......GOOD NIGHT WOOOTE!
dada kubwa bu byeeeeeeeeeeeee!
kesho nna kipind cha kwanza kuleeeeeeeeee!kwa mkoloni!
GOOD NIGHT WOOOTE!
dada kubwa bu byeeeeeeeeeeeee!
kesho nna kipind cha kwanza kuleeeeeeeeee!kwa mkoloni!
hapa sasa naweza kuleta kikombe cha chai upyaaaa!Hulali?
ha haaa, eti mi naona mmefanyiana maigizo, lol!
ngoma droo...
wewe mdogo wangu kwa kuigiza nakufagilia, ila BAK sikujua kuwa yeye ni mwigizaji pia, nilijua ni life saver tu, kumbe na maigizo anayajua!
MMETISHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
hapa sasa naweza kuleta kikombe cha chai upyaaaa!Hulali?
Hahahahahahahahaha duh umetiamo maneno makali kweliUTAJIBEBA!
mi nakuangaliaga tu kila siku unavyocheka na nyani ngoja ukute mabua ndo akili zitakukaa!
kazana kuwekamo madedication wenzio ndo wanayatumia hayo hayo !
we unabaki kuitwa LAIFU SEVA !!tu
SHAURILO!
unaniuziga mimi aaaargh!
Duh nimependa hapo nilipounderlinemie sipendi maigizo kabisaaaa, lakini ukileta maagizo basi hugeuka na kuwa maigizo mtindo mmoja, nayaweza tena sana tu.
Fixed Point your mdogo snowhite ni mwalimu by natureahahahhahahhahahahha hawakufanya kosa kuniita mwalimu!
chezeya a teacher by birth!ehehehheh
Hahahahahahahahahahahahahahahah uuuuiiiiiiiiiiiii . Mimi nimeacha kabisa wala thirudii kuchakachua nshajifunza ustaarabu .snowhite, Ablessed, chikutentema na rafiki yenu BAK ntawatimua kwenye uzi wangu....
mkafanye madiskasheni yenu kwenye uzi mwingine, sawa?
kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
mnasonyaje kimya kimya!
hapa sasa naweza kuleta kikombe cha chai upyaaaa!
hujambo lakini?
tunaenda lini mjengoni?
ahahhahaha uthiku mwema bana!mi thitaki!
ahahahhahahah haka kaneno kamwisho mekamithi mimi!\Apa sasa apa.....apa...hivi mwalimu wangu umekuwa mbunve hadi uende mjengoni kwa style hii ya mbuzi karesist journey?
snowhite sa ivi saa ngapi...unaona ulivochelewa kipindi?ahahahhahahah haka kaneno kamwisho mekamithi mimi!\
i mithi pia ile mineno ya kiyunani tunaelewa wenyewe!
ahahahaha Asprin bana ana safari ya mjengoni siku si nying!kaa nae chemba akakwambie uzur!i
kuhusu Fixed Point na Dark City kazi ilishaisha siku nying!\
af Kongosho anataka kuanzisha chuo kikuu amekwambia!?
sasa yupo busy kuandika pepa!
case study babu DC!
huwa nasikiaga watu wanapozeeka wanarudia tabia za utoto, sijui kuna ukweli kwa kiasi gani....
Ila mwenzenu (sikumbuki kama kuna kipindi niliwahi kuliacha hili) ninapokuwa na usingizi macho yananiwasha sana, kama vile wafanyavyo watoto wachanga.
yaani kwa jinsi yanavyowasha, ningekuwa mtoto ningekuwa nalia, just like watoto wanavyoliaga wanaposhikwa na usingizi.....
nakumbuka wakati nipo boarding school wenzangu walikuwa wananicheka sana ninaposhikwa na usingizi,,,,, walikuwa wananitania kababy......
Ukweli sielewi hii inasababishwa na nini.... mbona wenzangu hayawapati haya?
mtani wangu watu8, kuna chembe ya maswala ya kiafya kuhusu hili?
naomba niwaulize pia measkron, King'asti, Dr. Riwa na matabibu wengine
hata ushauri wa kimitishamba wa MziziMkavu unahitajika
hata wengine ambao siyo matabibu naomba michango yenu kuhusu hili