sijui nani ni nani hapa

sijui nani ni nani hapa

ha ha ha ha haaaaaaaaaaaa, maneno ya kujifariji, eti uniachie....we kweli Smile na akili yako ni wa kuniachia mimi mwanaume?? nitakuachia mimi nikishamalizana nae....mbinu nayoitumia kwa sasa ni kuongeza matunzo na kufanya kazi kwa bidii...apate hata hela kuwapa mgao.....kwaheri,ngoja niweke chakula mezani, tule bibi. Bye Byeeeeeeeeeeeeee!
wewe niombe tu nikusaidie wewe huna kitu iyo mbinu yako tumeigundua tunae kijana
 
eti michele anadai amefunga nae ndoa bomani toka lini eti wakati nilimuona jana tu anatafuta mchumba

Michelle anabana maana na yeye yupo kwenye ligi..Hata awe na pete kumi, nitampindua tu.Nimedhamiria na lazima niuteke moyo wake!..
 
Mpambano hapa naona maneno miiingi baina ya hawa mashostito, habu mmoja afanye kweli akamlete mmoja ya vijana hao hapa atamke live
Hahahaaa warembo wanarushiana vijembe halafu jamaa mwenyewe kimya...
Michelle anadai wapo naye wanamchora Smile kwenye PM...lol!
Hehehe jamaa wako kibao kwenye picha, ila mmoja nyota ya jaha imemdondokea wallah!
 
hajasoma Tosamaganga huyo? namfananisha na mtu mmoja tulikuwa viongozi wote kipindi tunasoma THIS (TOsamaganga HIgh School)

thanks kwakunisahihisha kaka, kweli ilikuwa enzi za mkangwa, jamaaa alikuwa skauti pia km sijasahau.
 
Hahahaaa warembo wanarushiana vijembe halafu jamaa mwenyewe kimya...
Michelle anadai wapo naye wanamchora Smile kwenye PM...lol!
Hehehe jamaa wako kibao kwenye picha, ila mmoja nyota ya jaha imemdondokea wallah!

Mara mkewe ati kaibuka!

Wanawake hata mkiwezeshwa hamuwezi jamani!!

Ingelikuwa hapo picha za wanawake, nakwambia saa hizi waliopo kwenye picha wote wangekuwa weshapata PM za kufa mtu
 
thanks kwakunisahihisha kaka, kweli ilikuwa enzi za mkangwa, jamaaa alikuwa skauti pia km sijasahau.

Halafu nyie watu mna kumbukumbu nzuri sana...na mie nilikutana nae kipindi cha skauti...fikiria tumedumu muda wote huo watu wanaibuka tu, mara mgao,mara lunch...yaani>>:hatari:
 
Mara mkewe ati kaibuka!

Wanawake hata mkiwezeshwa hamuwezi jamani!!

Ingelikuwa hapo picha za wanawake, nakwambia saa hizi waliopo kwenye picha wote wangekuwa weshapata PM za kufa mtu
eti anadai na cheti cha ndoa anacho anakiwasilisha kwa paw nipewe ban.michele bwana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom