sijui nani ni nani hapa

yeye ndo wa kuamua bwana.usimgande kijana wa watu ka kupe.acha tumfaidi.sharing is caring michele loh

He he he, umeanza maneno ya kashfa sasa....nasema hivi, tumetoka nae mbali hadi we unakuja kumpenda nilishampenda na ndo maana unaona hata yuko alivyo....kazi bidada kutunza....tutaamua mi na yeye....kama unataka sharing lazima na mi mdau unishirikishe,nijue sharing kwenye nini na nini?? mwenzangu tutakuja ku-share hata miradi ya familia....ama zangu ama zako Smile
 
Hee wagombea wenza wameongezeka!!..job true true!
 
@Ngabu

Nitarudi nikipata pc kuja kukupa like, kwa ulivyoeleza kwa ufasaha na vielelezo stahiki
Heheheee mzee ya viwango....
Hapa nahangaika na yangu sijui nani kailoga nataka nione hicho kideo cha yutyubu....
 
Heheheee janja sana wewe eeeh! Unataka ionekae hiyo ni territory yako
Watu wasanuke ili wakupunguzie shombo....lol!
Clever you Michelle!

SMH....mbona unasema ukweli hivyo ndugu yangu?

Si utulie mpambano ukiisha ndo useme haya?

Umeniudhi ila ndo sirudi nyuma....!!
 
Halafu wewe mwanaume hapo mbele ya Max, bado uko kimya? Chagiza basi huu mpambano...
 
Toto Belinda ni brazilian..cheki Gee alivyokuambia hapo chini..mbona utaichora namba shosty!

Aah mie tena, hapa ndio kwenyewe besti..huyu Smile maneno mengi ila hapa hafui dafu!

Gee! Tell her ajipange upya..Brazilian by nature:))

Niende wapi mamii..nimeshafanya due dilligence, wewe utanisikilia kwenye bomba..pole Smile, he's mine not yours!
we shall see.lazima nitoke nae
 
SMH....mbona unasema ukweli hivyo ndugu yangu?

Si utulie mpambano ukiisha ndo useme haya?

Umeniudhi ila ndo sirudi nyuma....!!
Akhaa me and you blood blood,

Hapo nshawakata maini wapinzani, kanyaga twende mwanakwetu.
Keep attacking silently, wasijue mbinu zako....lol!

BTW: hivi namshabikia nani tena? Lol...
 
He he he, umeanza maneno ya kashfa sasa....nasema hivi, tumetoka nae mbali hadi we unakuja kumpenda nilishampenda na ndo maana unaona hata yuko alivyo....kazi bidada kutunza....tutaamua mi na yeye....kama unataka sharing lazima na mi mdau unishirikishe,nijue sharing kwenye nini na nini?? mwenzangu tutakuja ku-share hata miradi ya familia....ama zangu ama zako Smile
ni wako akiwa kwako akitoka nje ninae
 
Anayetaka huyo wa mbele alye smile ani pm nimwambie ni vp atampata. Huyo jamaa ni rafiki wangu kwenye facebook na leo kai upload hyo picha kwenye wall yake.
 
Akhaa me and you blood blood,

Hapo nshawakata maini wapinzani, kanyaga twende mwanakwetu.
Keep attacking silently, wasijue mbinu zako....lol!

BTW: hivi namshabikia nani tena? Lol...

Huu mchezo nitaushinda kwa akili kuliko maneno....

mwache tu huyu Smile,kaja mjini hapa jana analeta vurugu....!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom