sijui nani ni nani hapa

sijui nani ni nani hapa

hivyo viwango inabidi virudishwe ndani ya mstari husika sasa...

Hehehe Bee unanitafutia muhali na Smile hapo. Bora wachaguzi wawe wachache ili kuleta amani JF

😀
 
Halafu Smile hana mchezo keshajichagulia wake hapo tayari....
Ila huwezijua bana mchaguliwa naye si ana uhuru wa kukubali au kukataa?
 
nyuma ya pascal mayal kuna jamaa kavaa miwani, namfahamu kasoma ardhi university, sijui anatumia id gani hapa.

hajasoma Tosamaganga huyo? namfananisha na mtu mmoja tulikuwa viongozi wote kipindi tunasoma THIS (TOsamaganga HIgh School)
 
Halafu Smile hana mchezo keshajichagulia wake hapo tayari....
Ila huwezijua bana mchaguliwa naye si ana uhuru wa kukubali au kukataa?
aaaha kumbe wanaweza kukataa tena bht acha kunikatisha tamaa bwana hujui id zao kabisa jamani
 
naona umeamkia huku leo? bht
 
aaaha kumbe wanaweza kukataa tena bht acha kunikatisha tamaa bwana hujui id zao kabisa jamani
Hahahaaa hebu thubutu bana, unatishwa na nini wee jiamini!

Ntakuambia ID ya huyo ...lol! Na chaguo la pili ni nani vile?

Sasa ufanye shaa shaa naona una mpinzani Belinda
 
Halafu Smile hana mchezo keshajichagulia wake hapo tayari....
Ila huwezijua bana mchaguliwa naye si ana uhuru wa kukubali au kukataa?

Smile akisikia hayo pressure inapanda na kushuka!

Ngoja tu adjust viwango, lkn hebu leta maujuzi hapo kwanza
 
hapo sikuwepo..... wewe ulikuwepo?
 
Hahahaaa hebu thubutu bana, unatishwa na nini wee jiamini!

Ntakuambia ID ya huyo ...lol! Na chaguo la pili ni nani vile?

Sasa ufanye shaa shaa naona una mpinzani Belinda

Yani nitapamba na Smile mpaka mwisho...mipango nimeanza saa nyingi, smile labda anishinde maneno tu🙂)

wewe vp bht, bado unafanya analysis?
 
Hahahaaa hebu thubutu bana, unatishwa na nini wee jiamini!

Ntakuambia ID ya huyo ...lol! Na chaguo la pili ni nani vile?

Sasa ufanye shaa shaa naona una mpinzani Belinda

ntacheka mpaka basi nikisikia huyo ni rejao au bujibuji au ....................
 
Smile akisikia hayo pressure inapanda na kushuka!

Ngoja tu adjust viwango, lkn hebu leta maujuzi hapo kwanza
Hebu ngoja kwanza, wee endelea na yule aliyekutungiaga ile rap, ukiingia huku utazidi ku narrow chances za Smile kuondoka na not too kijana. Upinzani unaongezeka, Michelle kapiga mkwara tayari....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom