sijui nani ni nani hapa

ni wako akiwa kwako akitoka nje ninae

Haya ndugu yangu, uzuri mi ndo mwenye mali aloniweka ndani kwake....

Hayo masaa mawili anayokupa ya starehe siwezi mnyima

Ila tu usiwahi kujaribu kugusa miradi yetu, hapo utauona umafia wangu
 
Haya ndugu yangu, uzuri mi ndo mwenye mali aloniweka ndani kwake....

Hayo masaa mawili anayokupa ya starehe siwezi mnyima

Ila tu usiwahi kujaribu kugusa miradi yetu, hapo utauona umafia wangu
miradi kitu gani bwana mi nasubiri tu dividend yangu mwisho wa mwaka mi mlivoinvest mi sijui we piga kazi ila mgao napewa pasu na wewe unalo bibi nani anafaidi?
 
haijalishi ulikuja mjini lini? nipo nae kwa pm mida hii kanipa na no yake

He he he kujiamini kwingine kubaya...

Tuko hapa sebuleni tunakuchora tu....

dada wetu msaidizi anauliza, dada mzuri hivyo anahangaika nini na mume wa mtu??
 
He he he kujiamini kwingine kubaya...

Tuko hapa sebuleni tunakuchora tu....

dada wetu msaidizi anauliza, dada mzuri hivyo anahangaika nini na mume wa mtu??
shosty umechange avatar jaman, wanipaje shida na ninavyokupendaga jaman nway ngoja nicopy nayo ivo ivo lol.
 
miradi kitu gani bwana mi nasubiri tu dividend yangu mwisho wa mwaka mi mlivoinvest mi sijui we piga kazi ila mgao napewa pasu na wewe unalo bibi nani anafaidi?

He he he nafaidi mimi, huo mgawo anaokupa hata mbwa wetu anaspend zaidi ...muulize vizuri kuhusu investment zetu?

Accountant ndo mie...najua nachompa kutumia huko nje.....bibi sikujua wafaidi kwa madogo hivyo....lolest!
 
He he he kujiamini kwingine kubaya...

Tuko hapa sebuleni tunakuchora tu....

dada wetu msaidizi anauliza, dada mzuri hivyo anahangaika nini na mume wa mtu??
mumeo wapi? wewe unammendea tu unataka nikuachie? sikuachii kifaa icho.tumia mbinu ingine michele
 
mumeo wapi? wewe unammendea tu unataka nikuachie? sikuachii kifaa icho.tumia mbinu ingine michele

ha ha ha ha haaaaaaaaaaaa, maneno ya kujifariji, eti uniachie....we kweli Smile na akili yako ni wa kuniachia mimi mwanaume?? nitakuachia mimi nikishamalizana nae....mbinu nayoitumia kwa sasa ni kuongeza matunzo na kufanya kazi kwa bidii...apate hata hela kuwapa mgao.....kwaheri,ngoja niweke chakula mezani, tule bibi. Bye Byeeeeeeeeeeeeee!
 
kweli kuna haja yakumeet wanajf jamn, me nimependa wana matabasamu mazurii mmh.
 
Heheheee mzee ya viwango....
Hapa nahangaika na yangu sijui nani kailoga nataka nione hicho kideo cha yutyubu....

Mpambano hapa naona maneno miiingi baina ya hawa mashostito, habu mmoja afanye kweli akamlete mmoja ya vijana hao hapa atamke live
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom