sijui nani ni nani hapa

Hehehee si lazima bana hebu hata live chicken na a suck of charcoal, ikubali tu...
Lol!
Binti smile anajikakamua, ila hajachacha naye!

Smile anang'ang'ana wakati hao wote ni style za kukutafuta kwa gunia la mkaa! Mi simo
 
Namaanisha bht, sipigi mkwara,huyu Smile ana speed ya ajabu...nimeona nimueleweshe mapema,tusisumbuane.....!
Heheheee janja sana wewe eeeh! Unataka ionekae hiyo ni territory yako
Watu wasanuke ili wakupunguzie shombo....lol!
Clever you Michelle!
 
Gaijin....mambo ya Balenciaga down to your feet eeh?

Mkienda shopping Mr. Chocolatey anasema 'eff the price tag, just throw it in the bag'

 
Last edited by a moderator:
wewe belinda huniwezi mimi sina shepu la kichina mwenyewe atahamia mbona

Toto Belinda ni brazilian..cheki Gee alivyokuambia hapo chini..mbona utaichora namba shosty!



hehehee nimependa hiyo determination yako, karibu nahamia timu yako, I am always in a winning team...lol!
Aaah Belinda mi mshangiliaji tu hapa...hehehee!

Aah mie tena, hapa ndio kwenyewe besti..huyu Smile maneno mengi ila hapa hafui dafu!


Naskia BJ lake la ki Brazil

Gee! Tell her ajipange upya..Brazilian by nature:))


hana lolote si umeona kakimbia?

Niende wapi mamii..nimeshafanya due dilligence, wewe utanisikilia kwenye bomba..pole Smile, he's mine not yours!
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom