- Thread starter
- #61
Mkuu x-pel siko tayari kumuumiza ki ukweli.
Aysee na mimi nilinusa harufu ya kamtego ka hivo mkuu
Nisaidie kuipeleka afu ushauri niletee nitashkuru mkuu maana sina Ac ya FB
Umeona ugumu unapokuja
Hawataki dhamana hao..maana wasijetaka hati ya kakibanda kangu ka chumba kimoja
Eehee inawezekana ati ni kamtego duh..!
Kama ni kweli huo ni mtihani ,wewe huyo mchumba wako anakutega akuone msimamo wako upoje juu yake na ushingae ukienda huko utakuta wapo wote na mchumba wako na utakuwa umessha onesha udhaifu wa halii ya juu sana!!!!!!
Aysee na mimi nilinusa harufu ya kamtego ka hivo mkuu
Hii story wala haijanivutia.
ingekuwa enzi zile nikiwa mwanafunzi labda? Kwa nini hungeipeleka face book kwa wanafunzi?
Nisaidie kuipeleka afu ushauri niletee nitashkuru mkuu maana sina Ac ya FB
mmhhh....
Umeona ugumu unapokuja
Kuna mkopo wa riba fasta 10% mashart ni nafuu ....ni PM
Hawataki dhamana hao..maana wasijetaka hati ya kakibanda kangu ka chumba kimoja
wewe yaelekea wamtaka sasa nenda ukutane na huyo mchumba wako ufumaniwe.....!
Eehee inawezekana ati ni kamtego duh..!