MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,553
- 41,467
kwani masharti ya kuendesha gari ni lazima uwe na million ya akiba ?
wewe huoni utu unamtoka kwa gharama ya shilingi milioni moja ?
kwani masharti ya kuendesha gari ni lazima uwe na million ya akiba ?
kwani masharti ya kuendesha gari ni lazima uwe na million ya akiba ?
Taa na Fundi tu gharama million ?
Shikamoo mjini.
"nenda mwanakwetu nenda,nenda ukafe mapema"
Wewe nenda huko kwenye hiyo hotel ukiwa umeongozana na mchumba wako,mkifika msurprise kwa kusema ukweli kilichotokea.
we nae umegonga taa ya mark x au uroho tuu?
Chai nyingine hizi
Anyway;
Kamsemelee kwa mpenzi wako
Bongo movie
Mimi nakushauri kamwite trafiki apime, italipwa na bima. Nina maana kwamba tukio limepita hana mahala pakukupata kilichobaki ni tamaa zako tu. Akili kichwani.Hii sio ya kutunga imenitokea kama uko vizuri nikopeshe mkwanja afu nakupeleka mpaka eneo la tukio mkuu
mwanaume mzima unadrive gari huna hata milioni ya akiba
Na mimi kanishangaza kidogo huyu jamaa
Hee mwanakwetu mmenichoka kiasi hicho...nipe mbinu ya kutoka hapo mkuu
Mimi nakushauri kamwite trafiki apime, italipwa na bima. Nina maana kwamba tukio limepita hana mahala pakukupata kilichobaki ni tamaa zako tu. Akili kichwani.
yaan kama ulikuwa akili zangu huyo kumkomesha kopa hata kwa mtu mlipe cash halafu mweleze mpenzio yaliyotokea ili akome kuja na rafikize kwenye out zenu hamna tabia mbaya kama hyo.
kumwita mpenzio mahali halafu aje na mashoga zake sio kabisa
acha woga wewe.....piga mzigo woga mpaka lini....?