Sijui mtego huu?

Sijui mtego huu?

Mhh kuna mikasa mingine ngumu kweli kuamin,,,wadada wanavyopenda ela leo et umgegede il usimlipe looh ,,,aya bana kamgegede mkuu
 
lakini utafute hela usitafte sababu ya kuchepuka bdae ukaanza kujuta

Nikishindwa inabidi tu vingezo vizingatiwe...wasi wasi wangu inaweza kuwa ndio sitatoka kabsaaa na tatizo litakuwa limeongezeka maana anaweza tishia kupasua kwa mwenye mali
 
Mmh sio ndio nitaongeza tatizo afu nikikumbuka alivyonisisitizia kuwa ole wangu niseme kwa mtarajiwa wangu..sijui anajiamini nini yule binti aah

Mtoto wakiume unapigwa mkwara na kabinti ... halafu unatetemeka??!
Hunaga ...una lako jambo kama hii story hujazua bahati..
 
Mrs Kharusy
Sina jambo lingine...
Sikutegemea, maana anavyojiamini kidogo niliogopa.
 
Last edited by a moderator:
Sina jambo lingine...
Sikutegemea, maana anavyojiamini kidogo niliogopa.

Ndio ujiulize sasa maconfidence yote hayo kayatoa wapi.. Kuonana yenyewe siku moja!! ..... Epuka UKIMWI michepuko sio dili...
 
Jumapili iliyopita niliamua kumtoa aut mpenzi wangu katika moja ya Hotel zile za wenye nazo nikamjulisha akaniuliza naweza kuja na Rafiki yangu,nikamuuliza yupi maana kuna mmoja hata huwa simuelewielwewi bahati nzuri hakumtaja huyo akasema mimi simjui nikamwambia aje nae tu,kweli wakaja uongo mbaya wangu alipendeza lakini hakumpita rafiki yake.zikapita saramu mbili tatu na utambulisho wa juu juu zikaja stori za hapa na pale ukiongeza na mvinyo wa kwenye hizi hotel ambao majina yake magumu sana kuyashika.

My love akaja na stori ya hivi utakuja kunisaliti kweli? Majibu niliyompa hata itokee nini siwezi nikajiapisha na miungu yangu yote pale.Sasa jana na mvua ile niko kwenye foleni bampa tu bampa mbele yangu kuna mak x ile natanua nikaikwangua ikabidi niwe mstarabu nikasimama kwenda kuomba msamaa nikagonga kioo kikashushwa kutaamaki ni yule rafiki wa mchumba wangu akaniambia usijari shemu wangu twende pale tuongee (pembeni pana pub moja maarufu) tukavuta kiti akaAnza kwa mbwebwe za jeuri shemu agiza kinywaji nikaagiza. Akanikazia macho na kuanza kunipa maelezo.

Najua umeharibu gari yangu umevunja taa sitaki ununue ila nataka uwe mpenzi wangu,yalinitoka macho nikaropoka we si unajua nina mchumba wangu ambae ni rafiki yako akijua!? Akajibu kwa jeuri "utamwambia wewe" kama hutaki lipa.Nikipiga hesabu na hela saivi ilivyonipiga chenga taa ya mark x na fundi rangi lazima 1 mil vinitoke nikamwambia aniache nikajifikilie akasema kesho yaani leo anataka jibu na saivi kanipigia na kuniambia nimkute hotel flani.Sasa kinachoniuma ni usaliti kwa mpenzi wangu afu niliapa sitamsaliti mbele ya huyo huyo anaetaka nikamsaliti
na ki uchumi saivi siko vizuri sana. Au mtego yaani ananivuruga huyu mdada.

Nipeni ushauri

Nawasilisha kwenu wana Jf

Story ya kutunga, na umeshindwa kuitunga vizuri,
mpaka taa inavunjika ni kishindo kiasi lazima kitokee, halafu yeye dem awe yupo tu eti amekaa kwenye gari halafu we ndo uende umgongee kioo afungue kana kwamba hakuna kilichotokea!! Tehe teheeee!! Hongera Bosi.
 
Mchumbako na huyu dada wa mark x wamekuandalia mtego mkubwa rafiki! Lipa madhara kwenye mark x ya mdada, achana na mapenzi - unless perhaps you want to drop your fiancee. Huo ndio ushauri wangu best angu!
 
Ndio ujiulize sasa maconfidence yote hayo kayatoa wapi.. Kuonana yenyewe siku moja!! ..... Epuka UKIMWI michepuko sio dili...

Oohshuuu sina namna nyingine ni kukwepa tu.. Shida ni rafiki wa mchumba wangu siku wanaweza kuja pamoja kwangu hapo ndio pananiwazisha, sijui nimpige mkwara mchumba wangu wavunje urafiki na huyo shosti ake? Lakini atataka sababu... Namwambia nini?
 
Kwani bado uko hapo barabarani? Polisi wamepima ajali? Yaani mshaondoka eneo la tukio bado unawaza kulipa? Mwambie aite traffic waje wapime ajali, sasa sijui mtarudi eneo la tukio???! Hata hivyo hii ni hadithi, yaani ya kutunga kwaiyo kama ingekutokea kweli hayo yangefaa kuwa majibu

@matamba1 kama bado u-hai basi fuata ushauri huu!

Hakuna haja ya kusema kwa mchumba wako...hiyo ni tabia ya kike! Solve it as a man...she wanted to play bad...play worse!!!!
 
Story ya kutunga, na umeshindwa kuitunga vizuri,
mpaka taa inavunjika ni kishindo kiasi lazima kitokee, halafu yeye dem awe yupo tu eti amekaa kwenye gari halafu we ndo uende umgongee kioo afungue kana kwamba hakuna kilichotokea!! Tehe teheeee!! Hongera Bosi.

Kumbuka yeye anaijua gari yangu kwani mara nyingi mchumba angu huwa anaitumia.
 
Mchumbako na huyu dada wa mark x wamekuandalia mtego mkubwa rafiki! Lipa madhara kwenye mark x ya mdada, achana na mapenzi - unless perhaps you want to drop your fiancee. Huo ndio ushauri wangu best angu!

Ahsante mkuu kwa kuliona hilo tayari nimeshaanza kuchangachanga ili nimpigie simu kabla hajanitafuta
 
@matamba1 kama bado u-hai basi fuata ushauri huu!

Hakuna haja ya kusema kwa mchumba wako...hiyo ni tabia ya kike! Solve it as a man...she wanted to play bad...play worse!!!!

🙂🙂 chief unataka nitumie kanuni ya kama mbwayi mbwayi tu..,haa kujizila huko
 
Oohshuuu sina namna nyingine ni kukwepa tu..,shida ni rafiki wa mchumba wangu siku wanaweza kuja pamoja kwangu hapo ndio pananiwazisha,sijui nimpige mkwala mchumba wangu wavunje urafiki na huyo shoti ake lakini atataka sababu...namwambia nini?

Umwambie ukweli...uongo wa nini??
Kwani umezua hadi uogope??
 
Back
Top Bottom