Joe Milla
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 1,247
- 2,151
Vishawishi na vitamanishi tulivyoumbiwa ni wanawake.Tatizo mmeumbiwa vishawishi na vitamanishi sana vya mapenzi jamani.
Vishawishi na vitamanishi tulivyoumbiwa ni wanawake.Tatizo mmeumbiwa vishawishi na vitamanishi sana vya mapenzi jamani.
Kama wewe utakavyoona uhitaji kuwa mteja wake, basi na yeye anakuhama pale atakapoona ahitaji kuwa mteja wako. Hizo sababu naona umechomekea kama wewe ambavyo ungeweza kusingiziwa sababu kama hizo pale utakapohamaMbona Sisi wanawake hatuko hivyo? Kama namuungisha mtu nakuwa mteja tu Hadi pale nitakapoona sihitaji tena au nimepata mbadala.
Wanaume mnakwama sana nyie mtuungishe tu ila Mambo mengine myaweke pembeni.
#badonahitajifreezermsijikaushe
Ebu tuuone wa kwakoHahaha
Hakuna tatizo we ni wangu tuMe ni pasi a. K. A flat screen
😁😁😁😁😁🦪Kmmk 🙌NJE YA MADA.
Mimi nilikuaga na bosi wangu wa kike, yeye changamoto/tabia yake alikua hawezi kukaa vizuri, muda wote anajisahau anakaa uchi mtu unaona mpaka ndani.
Mara nyingi tukiwa katika pilika pilika, unajikuta tu umeona
Mie kuona hivyo si nikahisi anapokaaga kihasara hasara labda huwaga ananitega.
Kuna siku tupo stoo wawili tu. yuko mbele yangu akainama, shanga zoote zinaonekana, na ule mtako sasa
Nikaona leo simcheleweshi, humu humu stoo namaliza asije kuniona joka la kibisa.
Nikaupiga kofi ule mtako halafu chap
Nikashika kiuno kwa mikono yote miwili, nikamvuta usawa wa dushe.
Nilikula mkofi mmoja tu la uso!!!!
Stori ndefu ila yaliisha.
😁😁Naona ulianza kuchezea kazi na si mshahara.
🤣🤣🤣🤣 Kwamba unajirahisisha utaliwa kaenda kumwambia mume wako dahh jamaa jau sana 😄Wanaume wamejaza ungese mwingi kichwani, na sio boda tu wapo maboss wapuuzi vilevile, kuna meneja wa benki moja hapo posta, nilikuwa na shida zangu za kiharakati, sasa ktk kuzungumza nae akajipa matumaini kuwa niko mrahisi, alivyo mbwa akaenda kumpa hint Mr, kuwa niko polite sana nisiwe naenda huko bla bla kuwa nitaliwa, yani mavi mavi tu, mbuzi yule aliniharibia kazi zangu kwa mawazo yake ya kisengeee
Mtumishi kwenye ubora wakeKuna wasenge sio wa kuchekea mimi huwa nawatakaga hao! Usipo wachekeachekea wanakutafutia namna, same applies to my boss, waarabu kwa ngono na dharau anakaa kwenye screen yake anajichagulia mabinti tu kama humtaki anakufukiza kazi ukimkubali anakufanya mboga kila siku unakichezea ofisini kwake! Na office yake iko kama apartment kubwa kwahiyo hajali wala nini! Mimi nasema ipo siku watajichanganya nitawaachia historia!
Aliniona soft sana, nina macho flani yamelegea nayo huwa yanachangia baadhi kuniona km mpole mwepesi, wakinichokoza ndo huwa wanajua hii ni mbogo iliyotorokq porini🤣🤣🤣🤣 Kwamba unajirahisisha utaliwa kaenda kumwambia mume wako dahh jamaa jau sana 😄
I was high samahani😎Mtumishi kwenye ubora wake
Au wewe ni mimi🤣Aliniona soft sana, nina macho flani yamelegea nayo huwa yanachangia baadhi kuniona km mpole mwepesi, wakinichokoza ndo huwa wanajua hii ni mbogo iliyotorokq porini
Naona unayavuta makendre kwanguvu!Hakuna tatizo we ni wangu tu
Ngoja nikadekezwe na mremboNaona unayavuta makendre kwanguvu!
Itakuwa😅😅😅Au wewe ni mimi🤣
Sawa chizi maarifa😁We nae let people be
Kila la kheriNgoja nikadekezwe na mrembo
