Sijui mama Janeth Magufuli ataanzisha taasisi gani?

Sijui mama Janeth Magufuli ataanzisha taasisi gani?

Mie Wallahi sijawahi kukutana na Msafara wa Mama Janeth!
Misafara ya Mama Salma na Mama Anna imeshanigandisha sana kwny foleni!

Kwny Picha ya Pamoja baada ya kuapishwa Cabinet ilibidi Ombeni Sefue anyanyuke na Kumwita Janeth apate Picha ya Pamoja na Mzee wakat huo Mzee Mwenyewe Hana time nae kabisa na Janeth kajikunyata Pembeni Kama vile mzamiaji wa Shughuli!

May be Mzee hataki kuidhinisha Janeth aanzishiwe NGOs ili kumuepusha kuingia kwny Mikono ya Mimama ya Mjini mitapeli tapeli
Na Mifisadi
 
Ni kweli serikali ya awamu ya 5 inamabadiliko makubwa ukilinganisha na zile zilizopita. Katika awamu zilizopita wake za maraisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania walikuwa na michango mingi kijamii. Kwa mfano walifungua mifuko ya kijamii hasa ya wanawake, walikuwa na campain tofauti hasa za mama na watoto, pia walianzidha miradi mbalimbali. Na hii haikuwa tanzania pekeake. Hata nchi za wenzetu. Wake za maraisi huwa wanamchango flani katika jamii. Huwezi kuitwa First lady huna mchango wowote katika nchi yako.

Swali langu ni kwanini First lady wetu wa sasa hajihusishi na mambo ya kijamii?

Hivi miezi kadhaa tu iliyopita hapa alikuwa Mkoani Lindi kisha nadhani Mwanza au Shinyanga ambako tulimwona Mama wa Watu akitoa michango mbalimbali je hizi siyo Kazi za Kijamii? Watanzania sijui nani katuroga hadi hatujui kujenga hoja na kufikiri hivi. Kumbe huwa sikosei pale ninapokuwa nje ya nchi na Watu huko wakiniuliza kama Mimi ni Mtanzania huwa nawakatalia kwa ( kujilipua ) kata kata kwani yawezekana wameshatujua kuwa ni wapuuzi tuliotukuka kunako upstairs.
 
...nakumbuka wakati wa msiba wa masaburi mkulu alivyokuwa anatania kwa kusema angependa kuwa na wake wengi...tena mbele ya mkewe...hii ilitosha kuonyesha huyu mama mtihani alionao kwenye ndoa yake.....jambo linaloweza kumfanya asiweze kutumikia jamii kabisa....na kubaki kupigania amani yake kwenye ndoa.....its just natural....wala sitoshangaa....
 
Muacheni afanye mambo yake, nimempenda sana huyu mama..hana kimbelembele..
Wanawake wengine waume zao wakiwa na cheo fulani basi nao wanajiona kama "wanashea" mamlaka!
Actually, sio kimbelembele... Ku-socialize ni jukumu lake... Sio hapa tu, hadi nje.
 
...nakumbuka wakati wa msiba wa masaburi mkulu.tena mbele ya mkewe...hii ilitosha kuonyesha huyu mama mtihani alionao kwenye ndoa yake.....jambo linaloweza kumfanya asiweze kutumikia jamii kabisa....na kubaki kupigania amani yake kwenye ndoa.....its just natural....wala sitoshangaa....
Kuna Familia ya kitajiri ilikuwa rafiki yetu, sa mtoto wa nyumba hyo alitukuta mida ya mchana twala ugali dagaa mchicha na maharage mchana, 2kamkaribisha alikula sana 2kamshangaa, siku moja alisema jana hatukula toka mchana kwa sababu mama hawezi kupka anaumwa kaumizwa na baba, housegirl wametoka nje na baba! nlimwonea huruma yule mama knoma.. pole yao matajiri wa mali mafukara wa furaha! Mungu awarehemu
 
Ni kweli serikali ya awamu ya 5 inamabadiliko makubwa ukilinganisha na zile zilizopita. Katika awamu zilizopita wake za maraisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania walikuwa na michango mingi kijamii. Kwa mfano walifungua mifuko ya kijamii hasa ya wanawake, walikuwa na campain tofauti hasa za mama na watoto, pia walianzidha miradi mbalimbali. Na hii haikuwa tanzania pekeake. Hata nchi za wenzetu. Wake za maraisi huwa wanamchango flani katika jamii. Huwezi kuitwa First lady huna mchango wowote katika nchi yako.

Swali langu ni kwanini First lady wetu wa sasa hajihusishi na mambo ya kijamii?


Hana hulka ya figisufigisu na upigaji fedha za umma! Ananikumbusha enzi za Mama Maria, tuheshimu privacy yake na utashi wake pia.
 
Mambo ya kijamii ya kijamii yapo mengi na ninaamini anayafanya ndo Mh hana stress katika kazi yake... Hope umenielewa
 
Yupo bize yaani anipikie,aniandalie chai,nguo zangu nk. Wewe unafikiri atapata wapi muda ?
 
Ni kweli serikali ya awamu ya 5 inamabadiliko makubwa ukilinganisha na zile zilizopita. Katika awamu zilizopita wake za maraisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania walikuwa na michango mingi kijamii. Kwa mfano walifungua mifuko ya kijamii hasa ya wanawake, walikuwa na campain tofauti hasa za mama na watoto, pia walianzidha miradi mbalimbali. Na hii haikuwa tanzania pekeake. Hata nchi za wenzetu. Wake za maraisi huwa wanamchango flani katika jamii. Huwezi kuitwa First lady huna mchango wowote katika nchi yako.

Swali langu ni kwanini First lady wetu wa sasa hajihusishi na mambo ya kijamii?

Mkuu huyu ni kama mmewe....sio mpiga dili hiyo mifuko ya kijamii wengi wao uitumia kama zuga tu kumbe wanapiga hela kupitia wanyonge!
 
Back
Top Bottom