Sijui mama Janeth Magufuli ataanzisha taasisi gani?

Kwani wakati wa utawala Mzee Nyerere, Mama Maria alikuwa anajihusisha na nini habu anayejua atujuze, tafadhali.
 
Mie Wallahi sijawahi kukutana na Msafara wa Mama Janeth!
Misafara ya Mama Salma na Mama Anna imeshanigandisha sana kwny foleni!

Kwny Picha ya Pamoja baada ya kuapishwa Cabinet ilibidi Ombeni Sefue anyanyuke na Kumwita Janeth apate Picha ya Pamoja na Mzee wakat huo Mzee Mwenyewe Hana time nae kabisa na Janeth kajikunyata Pembeni Kama vile mzamiaji wa Shughuli!

May be Mzee hataki kuidhinisha Janeth aanzishiwe NGOs ili kumuepusha kuingia kwny Mikono ya Mimama ya Mjini mitapeli tapeli
Na Mifisadi
Oke nishaanza kupata picha kwanini Ombeni Sefue ALITUMBULIWA kwa maelezo atapangiwa kazi kazi ila mpaka leo Kimya.
 
...
Kwny Picha ya Pamoja baada ya kuapishwa Cabinet ilibidi Ombeni Sefue anyanyuke na Kumwita Janeth apate Picha ya Pamoja na Mzee wakat huo Mzee Mwenyewe Hana time nae kabisa na Janeth kajikunyata Pembeni Kama vile mzamiaji wa Shughuli!
...

Hii phase inaumiza sana ukitafakari mkuu, if there's something behind AU!!.
 
Ni mwaka mmoja tu mkuu. Kuwa na subira kidogo. Kwa vile ni mwalimu, nategemea pengine atajihusisha na masuala ya elimu kwa watoto wasio na uwezo, wenye ulemavu n.k.
 
Kwani wakati wa utawala Mzee Nyerere, Mama Maria alikuwa anajihusisha na nini habu anayejua atujuze, tafadhali.

Wakat wa Mwalimu, Sophia Kawawa ( Mke wa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais Simba wa Vita Rasheed Mfaume Kawawa) ndo alikimbiza sana Mjini na kumfunika Maria Nyerere mpaka ikafika hatua akapewa Uenykt wa UWT na ndie alikuwa Kama Princes Diana wa Tanzania japo hakuwa na NGO

Wakat wa Mwinyi Sitti Mwinyi nae Maashallah alijichanganya sana sana japo sio kwa Viwango vya Mafia wawili Anna na Salma
 
...nakumbuka wakati wa msiba wa masaburi mkulu alivyokuwa anatamba kwa kusema angependa kuwa na wake wengi...tena mbele ya mkewe...hii ilitosha kuonyesha huyu mama mtihani alionao kwenye ndoa yake.....jambo linaloweza kumfanya asiweze kutumikia jamii kabisa....na kubaki kupigania amani yake kwenye ndoa.....its just natural....wala sitoshangaa....
Aisee nyumba zina siri nyingi sanaa
 
Kuna Familia ya kitajiri ilikuwa rafiki yetu, sa mtoto wa nyumba hyo alitukuta mida ya mchana twala ugali dagaa mchicha na maharage mchana, 2kamkaribisha alikula sana 2kamshangaa, siku moja alisema jana hatukula toka mchana kwa sababu mama hawezi kupka anaumwa kaumizwa na baba, housegirl wametoka nje na baba! nlimwonea huruma yule mama knoma.. pole yao matajiri wa mali mafukara wa furaha! Mungu awarehemu
Mmmmhhhh "jirani yenu alikuwa anaitwa nani"
mbna hii sinema kama nilishawahi iona?
 
...nakumbuka wakati wa msiba wa masaburi mkulu alivyokuwa anatamba kwa kusema angependa kuwa na wake wengi...tena mbele ya mkewe...hii ilitosha kuonyesha huyu mama mtihani alionao kwenye ndoa yake.....jambo linaloweza kumfanya asiweze kutumikia jamii kabisa....na kubaki kupigania amani yake kwenye ndoa.....its just natural....wala sitoshangaa....

Huyu Mama apewe Tuzo ya Mwanamke Jasiri 2016 maana kuishi na hiki 'Chuma' Miaka zaid ya 30 sio ishu ya Mchezo mchezo sie Mwaka mmoja tu jasho mpaka kwny Ugoko!
 
kufanya mambo ya kijamii kwa first lady sio kimbelembele ni majukumu yake... dunia nzima wake wa marais wana majukumu kwa jamiii..

jina la first lady lazima ulitumikie...

Muacheni afanye mambo yake, nimempenda sana huyu mama..hana kimbelembele..
Wanawake wengine waume zao wakiwa na cheo fulani basi nao wanajiona kama "wanashea" mamlaka!
 
Ngoja jamaa akupe kesi ya UCHOCHEZI yaani unataka kumpangia mkewe kitu cha kufanya kwani ulimpigia kura mkewe au yeye?!
 
Muacheni afanye mambo yake, nimempenda sana huyu mama..hana kimbelembele..
Wanawake wengine waume zao wakiwa na cheo fulani basi nao wanajiona kama "wanashea" mamlaka!
Acha matusi na dharau kwa akina

-Mama Ana Mkapa
-Mama Sitti Mwinyi na
-Mama Salma Kikwete
 
Huyu mama ana Changamoto na Mtihani mkubwa sana.

Mungu amsaidie tu na kumpa uvumilivu
 
Back
Top Bottom