Sijui lini

Sijui lini

Kama ilivokawaida kila mtu ana mpenzi wake wakumliwaza akiwa mchovu,wakumpenda kwa dhati,wakua rafiki wa karibu,wa kukujali na kukuthamini!
siku moja eti n mm ntapata mtu wa kunipenda kweli,kunijali,kunithamini ,kuwa rafiki wa kharibu wa kutokuniumiza ....anipende nimpende kweli ,awe mwanaume wa maisha yangu yote
Awe upande wangu ckuzote,anipiganie kwa kila kitu ,anirejeshee faraja ..namm nipate kujickia n mwanamke n yupo anaenipenda ..ningemjua ningemwita akaitika akawa karibu yangu sasa n hata milele ili nipate tena faraja iliyopotea muda mrefu.
Najua yupo,n ipo cku,saa na wakati atakuja n cjui lini... naona kama maono,kua n yy ni kama ndoto za mchana 7bu hakuna viashiria vyovyote vya kuja yy ....I MISS HIM SO MUCH (cry!!!)

kama ni kweli kuna kila sababu za kuku pm kwani 1 ni mimi unitafutae 2 kama sii mimi uliko toka ndipo nilipo toka mimi hivyo njia yetu ni 1 tofauti jinsia.3 hakuna haja ya kulia wakati furaha imbele yako mbele ya mashahidi nadhihirisha.nipe nafasi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom