Parata
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 3,090
- 692
huyo nae ni memba wa jeiefu?
Haa Humjui, Dah Kuna Wanawake Wanafurahisha Sana, Eti Tumtie Moyo Kwi Kwi Kwi
huyo nae ni memba wa jeiefu?
Haa Humjui, Dah Kuna Wanawake Wanafurahisha Sana, Eti Tumtie Moyo Kwi Kwi Kwi
hahaha!! mie natia moyo watoto wa kiume tu.... nna maslahi binafsi. huyu nawaachia nyie.
ar u looking? btw pole sana
She is ....
"if you are not happy single, u wont be happy taken. happiness comes from within not from men".
mbona unamsemea
Ushauri tu: unavoexpect mapenzi ya kufanyie yote hayo unajiandalia mazingira mazuri ya kuumizwa hapo baadae
usione watu tupo jf usiku huu ukadhani tunaipenda sana
Tupo mkuu.. Tatizo humu kuna watu wanajifanya mabinti kumbe midume..!! So be careful na bora uendelee kutoenda PMInawezekana katika members wote wa jf ni mimi tu sijawahi kumzamia binti PM sijui nizuke leo?
Hahaaaa we kwa uwongo..Mbona wewe huniogopi?
Body language yake inaonyesha