Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,840
Kwa hiyo unatafuta mpenzi?
If u don't have some 1 in ur heart,
Plz don't be sad
Don't release tearz
Or drive urslf mad
Jst draw smile on ur face
And wish upon the star
Bcz sam1 is wshng 2
And admiring u from far
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
mmmhhh
Mnakaa usiku kufanya nini?
Kama ilivokawaida kila mtu ana mpenzi wake wakumliwaza akiwa mchovu,wakumpenda kwa dhati,wakua rafiki wa karibu,wa kukujali na kukuthamini!
siku moja eti n mm ntapata mtu wa kunipenda kweli,kunijali,kunithamini ,kuwa rafiki wa kharibu wa kutokuniumiza ....anipende nimpende kweli ,awe mwanaume wa maisha yangu yote
Awe upande wangu ckuzote,anipiganie kwa kila kitu ,anirejeshee faraja ..namm nipate kujickia n mwanamke n yupo anaenipenda ..ningemjua ningemwita akaitika akawa karibu yangu sasa n hata milele ili nipate tena faraja iliyopotea muda mrefu.
Najua yupo,n ipo cku,saa na wakati atakuja n cjui lini... naona kama maono,kua n yy ni kama ndoto za mchana 7bu hakuna viashiria vyovyote vya kuja yy ....I MISS HIM SO MUCH (cry!!!)
Ushauri tu: unavoexpect mapenzi ya kufanyie yote hayo unajiandalia mazingira mazuri ya kuumizwa hapo baadae
usione watu tupo jf usiku huu ukadhani tunaipenda sana
Cna haja n mpenz ,cjaandk natafuta mpenz hpo..nahtaj mnipe moyo ok?
"if you are not happy single, u wont be happy taken. happiness comes from within not from men".
Ushauri tu: unavoexpect mapenzi ya kufanyie yote hayo unajiandalia mazingira mazuri ya kuumizwa hapo baadae
usione watu tupo jf usiku huu ukadhani tunaipenda sana
Mawazo boss....
na pm za kukupunguzia mawazo hujibu..umerogwa labda lol
Noted, nina firm ya kuondoa stress, ikishindwa jf njoo kwangu.