Mungu humpa mume mwema mke mwema. Anza sasa kwa kubadilika na ujiandae kuwa mume mwema then Mungu atakupa mke mwema na ujue mke mwema atoka kwa bwana.
mwombe mungu atakupa aliye mwema ,once unaoanzisha uhusiano mshirikishe mungu ili kama kuna lolote upande wa pili ulione kwa haraka. 2. Usikimbilie zinaa kwa utakayempata.3. Pata muda wa nyie kufahamiana. 4.usiogope kuachana na utakayempata ila chunga sana usiwe chanzo cha nyie kuachana.bado sijaoa kwa sasa na sijawahi kujihusisha na mahusiano mpaka sasa.sasa hivi nimeshakuwa mtu mzima nataka nianze kutafuta mwenza.lakini nacho ogopa mpaka sasa ni kuanzisha mahusiano halafu baadae kusalitiwa.ndio maana nimeamua kuomba ushauri kwenu ili nisije kukosea katika kuchagua .
Katika nyakati zetu za sasa ni vigumu sana kumpata mwanamke aliye mwema.
Moyoni mwangu nafikiri sana nionapo marafiki wangu jinsi walivyo salitiwa na wapenzi wao.
Nauliza nyinyi mlio oa na kupata wake wema mlifanyaje mpaka mkawapata hao maana ninampango wa kutafuta mke.
Hata siku moja! Haiwezekani Mungu akupe Malaika wakati wewe mwenyewe ni Ibilisi.
Mungu alipomuumba mwanaume/mwanamke aliumba pia wa kufanana naye. Ukiona mwenzi wako hamuendani naye ujue huo si ubavu wako tafuta wa kwako ukishindwa mshirikishe Mungu utafanikiwa.
sio mimi niliyeandika nahsi kuna mtu ka hack hii akaunti asee nimesoma kilichoandikwa sielewi aseeHezbend kuna ntu kaiba password yako?? :doh: :doh:
mwanaume haitaji kuwa mwema.mwanamke akiwa mwema ni advantage kwake. hakuna mtu anayetaka kitu kibaya. sijasema popote kuwa wanaume wote ni wema nilichosema mwanamke ndie anaetakiwa kuwa mwemakwahyo kama biblia haisemi chochote kuhusu wananume wema, kwahyo unadhani wanaume wote ni wema? kwaninm wadada huwa wanapata tabu kutafuta waume wema?? according to you seemz like wanaume wote ni wema.
Lisilowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu linawezekana...kumpata wa kuendana nae ndo mziki mnene. Try and error zitakufanya umalize wanawake wote dunia hii
sio mimi niliyeandika nahsi kuna mtu ka hack hii akaunti asee nimesoma kilichoandikwa sielewi asee
Katika nyakati zetu za sasa ni vigumu sana kumpata mwanamke aliye mwema.
Moyoni mwangu nafikiri sana nionapo marafiki wangu jinsi walivyo salitiwa na wapenzi wao.
Nauliza nyinyi mlio oa na kupata wake wema mlifanyaje mpaka mkawapata hao maana ninampango wa kutafuta mke.
Katika nyakati zetu za sasa ni vigumu sana kumpata mwanamke aliye mwema.
Moyoni mwangu nafikiri sana nionapo marafiki wangu jinsi walivyo salitiwa na wapenzi wao.
Nauliza nyinyi mlio oa na kupata wake wema mlifanyaje mpaka mkawapata hao maana ninampango wa kutafuta mke.
Lisilowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu linawezekana...
Ukitumia akili zako unaweza kujikuta kabla ya kumpata wa kuendana naye dunia ya leo unazimwa na Ukimwi.
Na asiye funzwa na ***** atafunzwa na ulimwengu...mwanamke umleavyo, ndivyo akuavyo!
Na asiye funzwa na ***** atafunzwa na ulimwengu...
Usisahau samaki mkunje angali mbichi, akikauka...
Katika nyakati zetu za sasa ni vigumu sana kumpata mwanamke aliye mwema.
Moyoni mwangu nafikiri sana nionapo marafiki wangu jinsi walivyo salitiwa na wapenzi wao.
Nauliza nyinyi mlio oa na kupata wake wema mlifanyaje mpaka mkawapata hao maana ninampango wa kutafuta mke.
Sasa hivi unaye yule ambaye si mwema au?
Ngoja nimsaidie kumjibia swali mtoa mada kasema hivi bado hajaoa kwa sasa .
Kichwa cha habari kinasema "sijui lini nitapata mke mwema". Maana yake ni kwamba hata sasa hivi anaye mke ila si mke mwema.