Sijui kwanini namchukia mke wangu

Sijui kwanini namchukia mke wangu

Mpandishe gari arudi kwao kwanza akaji update
 
Hii mimba ndo alipigwa huko mkuu.
 
Habari wana JF, natumaini wote wazima, niende kwenye mada moja kwa moja.

Kiukweli nipo na mke wangu nampenda sana mke wangu na tunaishi vizuri tu. Mwezi huu umeanza nashukuru Mungu mke wangu ni mjamzito, na nilimpeleka hospital akapima kweli ni mjamzito wote tukafurahi kwa hilo maisha yanaendelea.

Lakini sielewi nimepatwa na nini, yaani kila siku zinavyozidi kwenda najikuta nimepatwa na hali ya kumchukia mke wangu. Sielew hii hali inatokana na nini, wakati yeye mke wangu ndiyo upendo umezidi hatari, ananipenda sana. Nashangaa sana wakati yeye ndiyo mjamzito, yaani hata nikiwa kazini siku hizi amekuwa muda wowote anapiga simu, yaani nikiona tu simu yake hali yangu inabadilika.

Siku hizi hata kurudi nyumbani najikuta nachelewa kidogo ili nikute kashapumzika, basi nikifika nilale tu tutaonana asubuhi. Na kashaanza kugundua hali yangu hii lakini anabaki akijiuliza kwanini? kiukweli mke nampenda lakini hii hali imekuja tu ghafla baada ya ujauzito wa mke daah.

Wakuu embu niambieni hii imekaaje kitaalamu zaidi na inauhusiano wowote na mimba ya mke wangu? Karibuni wataalamu labda mnaweza nishauri nifanye kitu au labda ni hali tu ya muda itaisha au ni vipi?

Mungu awabariki.
Side effect za mimba usijali akijifungua hiyo hali itaisha
 
Mpandishe gari arudi kwao kwanza akaji update

Mkuu hawez kukaa mbali na mimi huyu namjua nikimwambia au nikimpeleka kwao tutagombana sana coz hawez
 
Pole mkuu mimba siyo yako hiyo Kama Kuna kipindi Cha karibuni alisafiri kwenda kwao Basi ujue alienda kukutana na mpenzi wake wa zamani jamaa akamwagia ndani kaamua tu kukupa mtoto ulee ili akwepe aibu sasa wewe ulishaanza kupata hizo hisia ndo maana unajikuta unamchukia, na kwa upande mwingine unampenda baada ya kujipa moyo kuwa ana mtoto wako lakini ile nguvu ya hisia za kweli kuwa alikuchit ipo juu kuliko nguvu ya hisia ya kujipa moyo
 
Wewe endellea kuangalia Sinema Zetu, ukaiona ile movie ya Mchongo. Na wewe ndio umekuja na Nadharia kama hiyo.
 
Habari wana JF, natumaini wote wazima, niende kwenye mada moja kwa moja.

Kiukweli nipo na mke wangu nampenda sana mke wangu na tunaishi vizuri tu. Mwezi huu umeanza nashukuru Mungu mke wangu ni mjamzito, na nilimpeleka hospital akapima kweli ni mjamzito wote tukafurahi kwa hilo maisha yanaendelea.

Lakini sielewi nimepatwa na nini, yaani kila siku zinavyozidi kwenda najikuta nimepatwa na hali ya kumchukia mke wangu. Sielew hii hali inatokana na nini, wakati yeye mke wangu ndiyo upendo umezidi hatari, ananipenda sana. Nashangaa sana wakati yeye ndiyo mjamzito, yaani hata nikiwa kazini siku hizi amekuwa muda wowote anapiga simu, yaani nikiona tu simu yake hali yangu inabadilika.

Siku hizi hata kurudi nyumbani najikuta nachelewa kidogo ili nikute kashapumzika, basi nikifika nilale tu tutaonana asubuhi. Na kashaanza kugundua hali yangu hii lakini anabaki akijiuliza kwanini? kiukweli mke nampenda lakini hii hali imekuja tu ghafla baada ya ujauzito wa mke daah.

Wakuu embu niambieni hii imekaaje kitaalamu zaidi na inauhusiano wowote na mimba ya mke wangu? Karibuni wataalamu labda mnaweza nishauri nifanye kitu au labda ni hali tu ya muda itaisha au ni vipi?

Mungu awabariki.
Mara yako ya mwisho kwenda Hospitalini kupima Ugonjwa wa Akili kama labda unao au huna ilikuwa lini?
 
Back
Top Bottom