chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,885
- 29,676
Habari wana-MMU!
Ule mgomo wetu wanaume utaanza muda si mrefu bado watu wanaendelea kujiandikisha kwa kasi mno, hii inaashiria ni Jinsi gani wanaume wanavyonyanyasika!
Back to my topic,.
Nashangaa kwanini mada nyingi zinazoletwa hapa MMU zinapata wachangiaji wengi ndani ya muda mfupi ukilinganisha na na mada zinazopelekwa katika majukwaa mengine hapa Jf.
Je hii inaashiria kwamba wana-MMU wanathamini mada zinazoletwa hapa au mambo yanayojadiliwa hapa mengi watu wanakuwa na uzoefu nayo?
Nawashukuru sana wana-MMU kwa kutobagua mada za kuchangia na bila upendeleo kila kinacholetwa hapa bila kujali itikadi wala Umri,.
Tuendelee na tabia hiyohiyo kwani watu wengi wanafaidika sana na ushauri unaotolewa hapa bila unafki!
Nawasilisha,..