Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,436
- 25,576
Wivu wa kiwango cha juu kabisa
Nenda Eanglish course...inajiabisha sanaKumbe tuko wengi mkuu
Mkuu sijaona ulichoandika ulipoquote comment yanguV money nobody like her
Yeye na mwenzake wote wanahangaika tu....bora waachePamoja na umaarufu wake na ukubwa wa jina lake lakini huwa nyimbo za Vanessa Mdee huwa sizielewi kabisa...yaani hata ukiniuliza sasa hivi kama kuna nyimbo yake naiujua wala siwezi kukuambia manake hazinaga ujumbe unaoeleweka...nikifananisha na akina Nandy , Linah, Maua Sama,Lady JD na mademu wengine....nimejaribu kuzipenda nyimbo zake lakini huwa haziningii akilini kabisa....sijui ni uzee au ushamba?Kama kuna anaye muelewa naomba mnisaidie kiushauri ili nipende nyimbo zake...
ile ilikuwa ni viwango vikubwa mnoo .. but chorus idea ile ni sample ameiga toka kwenye wimbo mmoja wa zamani sana .. msanii aliyeimba nimemsahau jina lakini uki search you tube unaikutamie anavyovaa ndio simuelewi,nyimbo anajua kuimba ila tangia atoe ile ya nobody like you sidhani kama kuna hits nyingine kutoka kwake..
Humu wengi ni bendera fuata upepo na maboya ndiyo wanamsifia sababu ya promo zake ...ukiwauliza wataje nyimbo kali za huyu demu halafu wamlinganishe na hao wengine wanabwabwaja tuuu...Vanessa ana hit song moja tu ..Hawajui
....Umesema kweli 100%......anajipigia debe sana huyu demu lakini ukiwauliza wanaomshabikia ni nyimbo gani kali ukilinganisha na mademu wengine , hawana majibuVanessa ni promo tuu na kuuza ngada .... ndo vinamweka mjin, ila hamna anachokifanya kwenye mziki....bora ahamie kwenye uanamitindo....kichwa ni Maua sama..kinakosa proper management
Ha haaa we mjamaa banaeti "i wanna make you sweat sweat wet wet"
sipendi mwanamke anayenitishia amani.
baadhi ya nyimbo zake ziko vizuri kama ile nobody like you
For me, Vanessa ni mkali.
vipi mazaa?Ha haaa we mjamaa bana
Poa dogo.vipi mazaa?
😂😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu jmnHta mm huwa sikaelewi haka kabinti vitako kama ndimu
ayeyeye kukuita mazaa ndo nimekuwa dogo?Poa dogo.
Vyovyote vile wewe ni mdogo wanguayeyeye kukuita mazaa ndo nimekuwa dogo?
ahaha hata wadogo zangu nawaita mazaa
tengua kauli aisee
mdogo wako inawezekana ila sio "dogo" it sounds inhuman to me.Vyovyote vile wewe ni mdogo wangu
mdogo wako inawezekana ila sio "dogo" it sounds inhuman to me.