Sijui kwanini hua hawaendelezwi.....

Sijui kwanini hua hawaendelezwi.....

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
.
IMG_20180720_112012.jpg
 
Nani amuendeleze?
Watu tuko busy kuchangia michango ya harusi, bag party, kitchen party, send off, kipaimara, ubatizo, komunio
Kuchangia misiba na kuhakikisha mwenzetu akifariki tunamzika kwa jeneza la gharama kubwa eg. Tshs3,000,000/=
 
kwweli mkuuu kadi kibao, usipochangia undugu imeisha
 
Nani amuendeleze?
Watu tuko busy kuchangia michango ya harusi, bag party, kitchen party, send off, kipaimara, ubatizo, komunio
Kuchangia misiba na kuhakikisha mwenzetu akifariki tunamzika kwa jeneza la gharama kubwa eg. Tshs3,000,000/=
Ukweli mchungu
 
Umenena vyema
 
Hapo ni wapi? ni Bongo ama?

Usikute ni Dogo wa Guinea Bissau huko.
Mkuu,
Nlishawahi kukutana na madogo wametengeneza 3d nyumba za maboxi, aisee mpaka nikashangaa. Yaan nlivutika sana nao, japo sikuweza kununua ila nliwaunga na jero. Kuna watu wanavipaji sana nchi hii mkuu. Unakumbuka yule dogo alievbua radio station akakamatwa
 
Hapo ni wapi? ni Bongo ama?

Usikute ni Dogo wa Guinea Bissau huko.
Haijalishi.....

lakin dogo Angekuwa ni wa mambele nazadhani saiv dogo angekuwa alia kuku kwa mrija!!!
 
Back
Top Bottom