Sijui kinachomfanya aendelee kutuma text

[emoji3][emoji3][emoji3] daah naona hapo mwisho umeamua kupigilia msumari
Kwa ushaur wangu ifute maana kila atakaye pita atatupia kaneno

Maana imekaa kama mtt wa masaki anamshangaa wa mbagala[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani wewe kujaza vitu kwenye single room unaona tayari umetusua?
hata mimi nimeifikiria sana hii comment yako ila nikajiongeza labda kwako jamaa bado yupo chini sana kimaisha ndio maana umeargue negatively maendeleo yake
 
Sio Wanawake wote, ila baadhi baadhi ya wanawake ni sawa na kupe! Wananyonya damu wakiona imekwisha wanaondoka, ila damu ikijaa tena wanarudi ili waendelee kunyonya. Kuwa makini ndio maana hata wafugaji hutumia Paranex kuoshea wanyama wao dhidi ya kupe. Tumia kichwa chako vizuri kuosha huyo kupe asikuzoee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 

Achana nae usikubali mwanamke akusumbue akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…