Zidane ana hasira, nadhani sasa kawa mtu mzima. Hiyo haikuwa mara ya kwanza kwa Zidane kupewa red card kwa kumdunda mtu. Fuatilia alipokuwa Ligue 1 & Serie A.
Alichofanya Marco Materazzi ni kumprovoke kwa makusudi, kwa sababu aliijua temper ya Zidane. And it worked, French wakawa reduced to 10 men & Italy went on to lift the 2006 WORLD CUP.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.