mwenye shamba
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 978
- 1,766
umofia wanajamii wenzangu. kumekuwa na tatizo kwa serikali yetu kuhusu hizi ajira za ndugu zetu waalimu.yaani mwalimu anahitimu mafunzo mwezi may then anasugua bench had may mwaka unaofata?kwa nini isiweke utaratibu mzuri? ingependeza sana kama wangekaa japo miezi minne hadi 6.kuendelea kufanya hivi ni kuajiri mwalimu ambaye keshasahau mambo mengi sana aliyojifunza.matokeo yake ni lawama kwa waalimu kuwa hawafundishi vizuri.karibuni kwa maoni yenu