Naunga mkono hoja.Jamani tutulizane
Naunga mkono hoja, kwa mke na mme lakini.
Naunga mkono hoja.Jamani tutulizane
Ngono nzembe!
Kauli hiyo mbaya na chafu hutolewa pale mdada anaevutia tena ukute ana zile supporting documents ,akipita anakutana na hlo neno of whch si zuri,yaani wanaume wengi wanatamaa kweli af wanafamilia zao nyumbani.
tehtehteh,eti 'nzembe'nmependa ilo neno,napita tu.
best we unamiaka mingapi kwenye institution ya marriage?
ujumbe mzuri wanawake wazuri bila pesa utaishia kuwaita shemeji tuu.