Hii ni kauli ya vijana wengi mno marafiki zangu.Vijana wakiume imekuwa kama mtindo kila akionwa binti mrembo,watu ni miguno tu mmmmmh!Halafu wanamalizia na kibwagizo" Sijui kama tutapona".
Kwakweli mi huwa ninawapa za uso na kuwaeleza hivi hicho kinachowafikisha mahali na kutoa hiyo kauli hakijakaa vizuri,tamaa zilizopiotiliza kama za mnyama/ndege hazifai kwa mwanadamu.Kwakuwa hata ukajifanya unakifua fanya unavyoweza na watu hawa mwisho wasiku jiulize unapata nini zaidi ya kujichosha na kujijaza stress.
Haya maisha ya mapenzi yananoga ukiwa mtulivu Adamu na Eva wako,Eva na Adamu wako.Kuwa huru kwa kutoanzisha mahusiano mapya ndani ya mahusiano unakosa uhuru ikiita simu lazima uwaze ya kuwaza kama uko na mwenza wako karibu yani kwa kifupi unakuwa mtumwa.
Kazi ya kuhudumiana kwanza si ya kitoto,labda kama kila mtu anacheki mahitaji yake binafsi wa ukishamaliza hujali upande wa pili vipi lakini kiuhalisia kama unatimiza kazi yako vizuri hii huduma ni vizuri kuibinafsisha kwa mmoja tu at a time.Kama itatokea labda mahusiano yakavunjika basi hama lkn mmoja at a time ni mpango mzuri na wakistaarabu na utakuta unafurahia zaidi mahusiano uliyonayo.
Tumepewa akili na utashi tuvitumie vizuri maisha ya kesho na kesho kutwa yanategemea sana misimamo na matendo yetu ya leo.Nawasilisha