Sijui kama tutapona

Sijui kama tutapona

Aliwazalo mjinga ndio litakalomtokea!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yaan hata sina dalili za kuchakaa yani mwanaume mmoja tu miaka nenda rudi ntaanzaje kuchakaa?matunzo ya kutosha

huyo mwanaume amekuoa au ndo miaka nenda rudi nyie zenu ni niangusage!!!!!
 
Kauli hiyo mbaya na chafu hutolewa pale mdada anaevutia tena ukute ana zile supporting documents ,akipita anakutana na hlo neno of whch si zuri,yaani wanaume wengi wanatamaa kweli af wanafamilia zao nyumbani.

Nashukuru kwa ufafanuzi nimekupata uzuri sana.
 
huko ndo wabongo tumewekeza zaidi. utakuta binti anamtako huuuo,halafu anapita anakutingishia unategemea nini hivi "atapona mtu jaman"

Hizi ndo fikra mbovu tunataka watu waachane nazo.Mtu kuwa na nyama ni maumbile watu wanaumbwa nayo hayawezi kupunguzwa lkn kama unamtu tulia na wakwako.
Kama hana swaga zako kwanini ulianzisha naye mahusiano,unatakiwa kutafuta wa swaga zako tangu mwanzo ili mimate mate inayowadondoka ikome.Inamaana kama upo na mtu asiyechaguo lako basi umeziba nafasi ya muhusika.
 
Kwa wanaume Kupenda ni tofaut sana na kutaman,.. I hope siku moja wanawake watuelewe kwa hilo... Hata kama nampenda msichana wangu 100% bado nitataman... And kutaman sio kwamba nampenda zaid ya niliyenaye...
 
"sijui kama tutapona" ni kauli ya wafu (ROHONI). Ulivyofafanua nimependa lakini imaanishe 1 WIFE 1 HUSBAND-kuna uponyaji mkuu...wengine wote kwa namna yoyote haiwezi kusumbua labda kama ni mfu (ROHONI)
Hii ni kauli ya vijana wengi mno marafiki zangu.Vijana wakiume imekuwa kama mtindo kila akionwa binti mrembo,watu ni miguno tu mmmmmh!Halafu wanamalizia na kibwagizo" Sijui kama tutapona".
Kwakweli mi huwa ninawapa za uso na kuwaeleza hivi hicho kinachowafikisha mahali na kutoa hiyo kauli hakijakaa vizuri,tamaa zilizopiotiliza kama za mnyama/ndege hazifai kwa mwanadamu.Kwakuwa hata ukajifanya unakifua fanya unavyoweza na watu hawa mwisho wasiku jiulize unapata nini zaidi ya kujichosha na kujijaza stress.
Haya maisha ya mapenzi yananoga ukiwa mtulivu Adamu na Eva wako,Eva na Adamu wako.Kuwa huru kwa kutoanzisha mahusiano mapya ndani ya mahusiano unakosa uhuru ikiita simu lazima uwaze ya kuwaza kama uko na mwenza wako karibu yani kwa kifupi unakuwa mtumwa.
Kazi ya kuhudumiana kwanza si ya kitoto,labda kama kila mtu anacheki mahitaji yake binafsi wa ukishamaliza hujali upande wa pili vipi lakini kiuhalisia kama unatimiza kazi yako vizuri hii huduma ni vizuri kuibinafsisha kwa mmoja tu at a time.Kama itatokea labda mahusiano yakavunjika basi hama lkn mmoja at a time ni mpango mzuri na wakistaarabu na utakuta unafurahia zaidi mahusiano uliyonayo.
Tumepewa akili na utashi tuvitumie vizuri maisha ya kesho na kesho kutwa yanategemea sana misimamo na matendo yetu ya leo.Nawasilisha
 
"sijui kama tutapona" ni kauli ya wafu (ROHONI). Ulivyofafanua nimependa lakini imaanishe 1 WIFE 1 HUSBAND-kuna uponyaji mkuu...wengine wote kwa namna yoyote haiwezi kusumbua labda kama ni mfu (ROHONI)

Malengo ni kumaanisha ulivyosema,lkn transition period lazima uanze urafiki,uchumba then ....................
 
Kwa wanaume Kupenda ni tofaut sana na kutaman,.. I hope siku moja wanawake watuelewe kwa hilo... Hata kama nampenda msichana wangu 100% bado nitataman... And kutaman sio kwamba nampenda zaid ya niliyenaye...

Then ukishataman nn kinafuata?Uwezo wa kukata hicho unachoita kutamani upo,kama hujui vp nipm.
 
huko ndo wabongo tumewekeza zaidi. utakuta binti anamtako huuuo,halafu anapita anakutingishia unategemea nini hivi "atapona mtu jaman"

Hawa da zetu wamekaa kimtego mtego tu. Awe ana wa kwake, hajiamini lazima ategeshee tu. Tutaponaje? Hata ungevaa miwani ya mbao, bado utaangalia tu. Wakubwa wanafaidi kwa sababu wengine wanaacha serengeti hapo, wanazamia tusker tu. Yale yaliyotoka kuuza pembe huko Hong Kong. Sisi tusio na kitu, hakuna kuonja bali kukodolea mimacho tu.
Aftena tizama hiyo mitikisiko utadhani kuna tetemeko la ardhi. Hapo kuna kupona kweli??? Da zetu, acheni huooo, hayo ni majanga tu. Huku umevaa skin tight nyembambaaaa aftena kimini juu huku ramani yoote imejichora. Tutapona??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom