Sijui kama nitapata mwanamke aliyetulia kama mimi

Sijui kama nitapata mwanamke aliyetulia kama mimi

Hihihihihihihi njaaaaa
 
Attachments

  • 1473703340203.jpg
    1473703340203.jpg
    9 KB · Views: 22
hahaaa watu tumetulia hadi shetani anakimbia tatizo mwanaume mpole hana maendeleo
Hivi ni kweli? Mbona unaanza kuniogopesha sasa! Sitaki kukubali hii maana nikikubali nitakuwa nimeharalisha! Ila kuna watu wapole kiasi kwamba wamepitiliza kwake kila kitu ni ok. Upole ukizidi unakuwa ni upumbavu
 
kweli kabisa
 
Lakini mkuu kuogopa kupata UKIMWI peke yake sio sifa tosha ya kusema umetulia. Labda ungesema tu moja kwa moja kuwa hupendi kuchepuka maana kutulia kwa mtu kunabebwa na sifa nyingi sana zaidi ya hiyo ya kutochepuka tu. Labda jaribu kuweka na sifa zingine za ziada unaweza kuwashawishi wahusika. Mtu anaweza asiwe mchepukaji lakini akawa na roho ya kutu pia akawa mgomvi vibaya na asiye na utu.
 
Naogopa sana kupata ugonjwa wa UKIMWI,nazidi kumwomba mola anilinde na hilo jinamizi.

Sasa nataka kufanya maamuzi magumu ya kuvuta jiko lilotulia lenye sifa zote za kitanzania na pia mwenye vinasaba vyote vya kibantu kuanzia mlima kilimanjaro kwa kina mangi sina mpaka nyasa, pia kuanzia ukanda wa Pwani wa Mashariki mpaka ukanda wa Tanganyika kuelekea pande zile za watoto wa wanamalundi.

Binti mwenye sifa hizo ana-PM
[emoji121]
MKUU
UNGEWEKA PICHA!
 
Ukipata hilo jiko lenye SIFA ZOTE ZA KITANZANIA usisahau kunipa ramani na mimi nikachongeshe langu..
 
Blaza biblia inasema kua utapata wa kufanana nae so endelea kupiga goti na kusali
 
Umekosea sana heading ingesomeka "Sijui kama nitapata mwanamke mwenye shida na hela mimi ninazo"

Hapo device yako ingepata tetemeko la PM.
 
Back
Top Bottom