Sijui hawa jamaa wanahali gani huko waliko

Sijui hawa jamaa wanahali gani huko waliko

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
25,301
Reaction score
40,931
FB_IMG_1551525765077.jpg
 
😀😀😀 utakuta wala hawajui kwa nini walifanya hivyo, ukiwaita tena watakuja kufanya hivyohivyo.
 
Ni mahaba tu
Na yapo mahaba mengi tu kama Mpira yaani unakuta mtu utafikiri ana hisa

Lingine ni Siasa mtu anaweza kuongea siasa masaa lakini hata hategemei siku moja ataingia bungeni

Wengine ni wa Dini yaani atatetea dini yake kumbe ni mnafiki hata sala hazijui
Wa hivyo utamjua kwa matusi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Sure
 
Back
Top Bottom