Sijui hata nifanyaje?

Haaahaa utaweza sasa? Au upate kamcheps
Kuna muda natamani kuchepuka ila naogopa nitaleta maradhi ndan maana mpira mimi sitaki kutumia.Nimechagua kukomaa nae Mungu mwenyewe atatenda kitu
 
Wanawake kama wewe wachache sana hongera endelea na moyo huo huo
Kuna muda natamani kuchepuka ila naogopa nitaleta maradhi ndan maana mpira mimi sitaki kutumia.Nimechagua kukomaa nae Mungu mwenyewe atatenda kitu
 
Tulia wewe! Watu kama nyie mnastahili kushinda nyumba za ibada..hayo mawaiza yako ni kaz bure hapa..mie ndo mama mwenye gar na mida siyo mrefu biashara ananifungulia kwa mkono wake...unataka nini zaid?
 
Akili yako haielewi. Nyumba ya ibada imetoka wapi. Ninachokwambia unakuja wakati utazeeka na kukosa soko na hakutakuwa na wa kukupa gari wala hela UJIPANGE LA SI HIVYO UTAISHI KWA TABU SANA.

hayo mengine yote porojo.
 
Bora we mpenz ...mwenzio mume wa ndoa.Nilisema nitampendaga hukohuko kumbe ndo nimeshindwa jumla.Siyo kwamba anapesa kama wako ...noo Mimi kinachoshika hapa ni upendo wake tu yaan sijawahi on a upendo kama huu kiukweli
Sasa hapo akikuuzi kidogo ndoa chali tena unaivunja bila ya huruma. Wanawake wapewe uhuru wa kutongoza teh teh
 
Kuna muda natamani kuchepuka ila naogopa nitaleta maradhi ndan maana mpira mimi sitaki kutumia.Nimechagua kukomaa nae Mungu mwenyewe atatenda kitu
Yaaani ukichepuka ndani ndiyo utaona chefu kabisa, yaani utabaki hili nalo sijui vipi?
 
Akili yako haielewi. Nyumba ya ibada imetoka wapi. Ninachokwambia unakuja wakati utazeeka na kukosa soko na hakutakuwa na wa kukupa gari wala hela UJIPANGE LA SI HIVYO UTAISHI KWA TABU SANA.

hayo mengine yote porojo.
Muache mtu aishi maisha yake bhna!! Me sion sabab ya ww kumjudge, anatumia nafas yake vizuri😂😂
 
Mm sijamjudge. Sijamwambia asitumie nafasi yake. Nimemwambia wakati unakuja hatakuwa na soko hivyo ajipange.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…