Sijui hata nifanyaje?

Sasa gari bila kadi hata usipokuwa na mpango wa kulirudisha silita Rudi tu kwa mwenyewe siku akiamua kulihitaji
 
Nlikua sijawahi kuingia chumvini siku nikapata dem nkamuita geto akawa hana hisia nami nlimgusa Kila mahali mpaka kwenye hisia zake ila wapi ikanibid nichuke chumvin hapo kidogo ikawa afadhal nikajipigia bao 3,za maana



Baada ya game nikamuuliza why kanifanya mpaka nishuke chumvin ni kama alinielewa akajibu G mi sina haja ya kuandaliwa ili niwe wet ni vile tu sina hisia na wew ,moyoni nliumia kinoma ningekua sina mambo mengi ningejipanga kumfanyia kile Dizasta alikifanya kwenye Hatia 2
 
Kwahiyo wewe huwa unafika unapanda kitandani unasubiria kufanywa ili usikie raha?? Kufurahia mapenzi kunategemea na juhudi zako binafsi pia, sio utegemee mtu ajipinde tu wakati wewe unawaza kadi ya gari!
Haahaaa hadi nimecheka et nawaza kadi ya gar jaman! Ngoja ntajitahid ubunifu na mie lol
 
Nimehongwa gar bila kad lakin inanisaidia sana mjini hapa..kinachonifanya nije hapa ni kuwa aliyenihonga gar nikifanya naye mapenzi yaan sisikii ladha kabisa..navuta hisia kabisa nikiweka akili yangu kuwa nafanywa lakin wap sioni ladha..raha ya kufanywa haipo..ja mwanaume mwwnyewe kajaliwa vizuri anajituma hadi kuninyonya lakin mie sijui hata inakuaje?

Moyo wangu umekubali kabisa niwe naye kwasabu ndo kama hivo kanihonga lakn huku chini hapana ushirikiano kabisa..
Nifanyaje? Maana gar sina mpango wa kulirudisha na kuna mambo kibao kaniahidi?

Hii nilipeleleza tu sina ushahid nao japo hao wote kaamua kunipa mie gar lake analotembeleaga yeye kabak anadandia magar ya ndugu zake tu kwasabu yapo hapo nyumban
Njoo kwangu tutext mitambo ikijibu itakuwa bwan huyo anajini mahaba
 
Tatizo lako ww baada ya kumwona jamaa anakupenda sana umemuona weak, kwahyo unatafuta tafuta pengine kwa atakayekusumbua kihisia ndo umekosa hicho kitu.
Wala hata hajanionyesha ananipenda kihivo hara hasemagi ananipenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom