Sijui atamwambia wife?

Nyie si mnaambiwa mtahahalishiwa viroba mnakubali, matokeo yake ndiyo hayo.

Kwanza acha pombe.
 

Nyie ndo tunawaita MAFISI BABU
 
martins paul

Ya mwizi arobaini, ulikuwa umezoea kwa wageni wengine sasa arobaini yako imefika
 
Last edited by a moderator:
wewe ni mume au? maana it sounds like you are a boy (unayebalehe).
 
Basi nihurumie wewe.... mi mtoto wa mwanamke mwenzio ujue...

Naanzaje kukuhurumia kwa mfano?
Tangaza dau, maana mume ninae, mchepuko ninao, kwako nitaangalia maslahi tu.
 
Nikipona hili sirudii tena nilikua nimezoe mabinti wakija kwetu hapa kwetu nawafuata usiku na noti ya elfu kumi au ishirini nagonga mlango na kuwaonesha zile hela nao unifungulia tunamalizana.


​UKIZOEA VYA KUNYONGA................???????????
 
Nyie ndo mnatufanya wake zetu wasituamini. akisoma story humu JF anajua wote ndo wale waleeee. Huwezi aminoi nimeshangaa sana juzi kati Shemeji mdogo kaja toka Arusha eti wife usiku anafunga mlango wa chumba fungo anaficha, namuuliza kwa nini hanijibu. Nikiwa naangalia mpira sebuleni usiki na yeye anakomaa mpaka mpira uishe kumbe sasa nimejua ahahahahaa anadhani na mie mzee wa TIP TOEING aka kunyatia hahahaaaha waifuuuuuuuuuuuuuuuuu duh salute kwako kwa wivu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…