Sijui ananipenda huyu!

Mkuu ungeweka na picha tukuone.

Isijekuwa anakushangaa jinsi ulivyokituko.

 
Mkuu.... Huyo mwanamke hakupendi, lakini hua anakushangaa jinsi ulivyo na sura nzito....[emoji2] [emoji2]
 
Duh
 
Ndoa na iheshimiwe na watu wote
Achana na tamaa
 
Achana na habari za kukaa barazani hata kama huna kazi
 
Itakucost na wake za watu kwanza unaanza vip kuwaza kupendwa na mtu ambaye Tayari anamme wake? Amka ndugu
Yaani mnavoongea wanaume wa umu kaa sio nyie.... Wakati nyie wengi wenu mnatupm na tukiwaambia tumeolewa bado hamsikii. Acheni unafki semeni tu ukweli
 
Hakupendi huyoo kakutaman maana hawez muacha mumewake kwaajili yako. Cha msingi achana nae mbona mabintii wengi sana tafuta wa kwako.

Cha mtu mavi.
 
Anataka kukugeuza dili aka msukule
 
Subiri nizunguke zunguke na yeye anaweza kuwa ameanzisha uzi kukuhusu.
Nitarudi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…