Sijui ananipenda huyu!

hata mimi inanitokeaga kwa mtu ninaye mtamani, nikisema na mpenda nitakosea sababu nina mume ila kutamani kupo, na unatamani sawa sawa
Vitu gani vinakufanya umtamani mume wa mtu.. Vitatu tu.
 
Unaweza kuwaza meeengi tofauti kumbe anakushangaa jamaa vipi uyu ye atoki kutafuta??? Yaani we muda wote kibarazani uku wenzio wako bize unataka asikushangae
 
Itakucost na wake za watu kwanza unaanza vip kuwaza kupendwa na mtu ambaye Tayari anamme wake? Amka ndugu
 
Maamuzi gani? Ushasema mke wa mtu, endelea na yako mkuu! Tena mgeni hapo, hujui ata tabia za mumewe!!!
 
Kuna wake za watu wengine vimbelembele htr...ndo mana watu siku hawaoi
 
unajifanya kiboro dinda mbele ya wake za watu eeeeeeh

ngoja wakutengua kizazi na kwa ugumu huu wa maisha wahuni wanakupanda bila kilainishi
 
Kuwa makini mkuu list ya Mh kigwangala ya kina delicious haijajaaa....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…