sijiskii kupendwa

Penda kwanza halafu unaweza kupendwa au usipendwe
 
Hvi bado kuna upendo wa bila helaa?
 
Kwanza kabisa pooole kwa hali unayopitia.

pili nasikitika kuna watu wanaweza kukuchukulia kwa mzaha maana mara nyingi nimeona hilo, ila usiogope jipe moyo utashinda.


Tatu kuhusu hiyo hali, mara nyingi hii hutokana na past experience ambazo umepitia na hasa pale hujaamua kusamehe baadhi ya mambo huko nyuma ama kutumia muda mwingi zaidi kuangalia kilema chako badala ya kutumia strength zako.

Kuna mambo mengi ya kufanya, kwanza kabisa tambua kuwa regardless of what people may say for you, Lakini wewe ni wewe na hakuna wewe mwingine hapa duniani. kwa maana nyingine ni kuwa Thamani ni ya pekee sana, na Wapo wengi wanakupenda sana. Wa kwanza kabisa ni Yeye aliyekuweka hapa Duniani, Mungu anakupenda sana, na ndio maana anakupa hata chance hizi za kupata ushauri kukutana na marafiki, etc. na pia hata hapo ulipo wewe waweza kuwa shahidi yangu kuwa several times waweza kuwa umepitia hali ambazo it is impossible to know how you survived!! ninachokuomba, usifanye kosa la kipa wa mpira wa miguu, anaweza pangua mipira mingi sana golini lakini ataumizwa na goli moja tu atakaloluhusu golini, Ninamaanisha usikae na kutafakari sana mambo mabaya ambayo watu wachache wamekusemea, lakini hebu angalia pia watu wengine wanaokupenda na kukujali!! think of people who asked for your absence kipindi haupo?! they care, they treasure you, kuna watu wengi sana more than you can think of ambao they are concern of you.

Pamoja na kuamua kuwa optimistic on what you do lakini yafuatayo yatakusaidia sana, kwanza kabisa ni kujua kuwa kama alivyosema Bill Cosby" I do not know the key to success but the key to failure is trying to please every one" Huwezi mridhisha kila binadamu katika ulimwengu huu, Amini kwa unaweza, amini kuwa unapendwa, Onyesha upendo kwa wengine nao watakuonyesha upendo kwa kuwa sometimes what we get from others is a reflection of what we deliver to others knowingly or unknowingly. Onyesha wema na upendo nao watakuonyesha hivyo hivyo, si lazima uliyemuonyesha wema wako ndiye huyo huyo atakayekulipa wema, lakini wema huo waweza kuwa investment itakayokusaidia one day.

jingine ambalo ni kuu, Samehe yote yaliyopita regardless of how painful they were, but please just forgive and you will have eternal peace, kuna baadhi ya watu walitendwa na Boyfriends zao na wakaamua kuwachukia Boys wote, siku waliposamehe waliona pia hata watu wengine ni wa thamani na wao wakaweza kupendwa pia. Pamoja nakusamehe but kuwa tayari kujishusha nawe pia kuwa tayari kuomba msamaha kwa uliowakosea/kuwakwaza by one way or another.


Fanya hayo I believe you will enjoy your life much
 
Ukinipenda tu, na mimi ntakupenda. Utakuwa ushapendwa.
Nipende valid statement nikupe valid love.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…